Siasa za Chadema zinazoambatana na vurugu

Giovanna Upunda

Senior Member
Joined
Aug 11, 2024
Posts
105
Reaction score
48
Hali ya wasiwasi miongoni mwa wananchi, wapenzi, na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) imekuwa ni jambo la kutia wasiwasi na kujadiliwa sana katika kisiasa nchini Tanzania.

Wasiwasi huo unajitokeza kutokana na matukio ya ukandamizaji, vurugu dhidi ya viongozi wake, na matendo ya kihalifu dhidi ya wanachama wa chama hicho.

Matukio ya fujo na vurugu dhidi ya viongozi wa Chadema na wanachama wao yamekuwa yakitokea mara kwa mara ambapo Vitendo hivi vimekuwa vikichukuliwa na wanachama wa Chadema kama ishara za ukandamizaji wa kisiasa unaofanywa na Viongozi wa Chadema baada ya kudaiwa kupigwa kwa katibu Mwenezi wa (BAWACHA) Bi. Sigrada Mligo na Mlinzi wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema John Heche.

Katika video clip nyingine ikimuonyesha Dada na mwanachama wa chadema anaelalamikia uhuni unaofanywa na Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu kwa kuajiri kikundi cha wahuni kwa kuwashambulia manachama wa Chadema Pamoja na viongozi wengine wanaokwenda kinyume matakwa ya Mwenyekiti huyo.
 
Attachments

  • WhatsApp Video 2025-03-28 at 01.11.51.mp4
    9.4 MB
  • WhatsApp Video 2025-03-28 at 01.06.49.mp4
    2.6 MB
Hali ya wasiwasi miongoni mwa wananchi, wapenzi, na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) imekuwa ni jambo la kutia wasiwasi na kujadiliwa sana katika kisiasa nchini Tanzania.

Wasiwasi huo unajitokeza kutokana na matukio ya ukandamizaji, vurugu dhidi ya viongozi wake, na matendo ya kihalifu dhidi ya wanachama wa chama hicho.

Matukio ya fujo na vurugu dhidi ya viongozi wa Chadema na wanachama wao yamekuwa yakitokea mara kwa mara ambapo Vitendo hivi vimekuwa vikichukuliwa na wanachama wa Chadema kama ishara za ukandamizaji wa kisiasa unaofanywa na Viongozi wa Chadema baada ya kudaiwa kupigwa kwa katibu Mwenezi wa (BAWACHA) Bi. Sigrada Mligo na Mlinzi wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema John Heche.

Katika video clip nyingine ikimuonyesha Dada na mwanachama wa chadema anaelalamikia uhuni unaofanywa na Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu kwa kuajiri kikundi cha wahuni kwa kuwashambulia manachama wa Chadema Pamoja na viongozi wengine wanaokwenda kinyume matakwa ya Mwenyekiti huyo.
Hivi ni lini nyie machawa mtaachana na visiasa vya kuokoteza okoteza visivyo na kichwa Wala miguu?

Watu kutekwa na kupotezwa kwako sio uvunjifu wa amani ila mtu kupigwa kikofi ndio uvunjifu wa amani?
 
Hii ni CCM motivated/engineered drama
 
Hivi ni lini nyie machawa mtaachana na visiasa vya kuokoteza okoteza visivyo na kichwa Wala miguu?

Watu kutekwa na kupotezwa kwako sio uvunjifu wa amani ila mtu kupigwa kikofi ndio uvunjifu wa amani?
Je unahalalisha viongozi wa Chadema kupigwa na kutekwa na viongozi wao kwa sababu tu kuna watu walitekwa?
 
Hali ya wasiwasi miongoni mwa wananchi, wapenzi, na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) imekuwa ni jambo la kutia wasiwasi na kujadiliwa sana katika kisiasa nchini Tanzania.

Wasiwasi huo unajitokeza kutokana na matukio ya ukandamizaji, vurugu dhidi ya viongozi wake, na matendo ya kihalifu dhidi ya wanachama wa chama hicho.

Matukio ya fujo na vurugu dhidi ya viongozi wa Chadema na wanachama wao yamekuwa yakitokea mara kwa mara ambapo Vitendo hivi vimekuwa vikichukuliwa na wanachama wa Chadema kama ishara za ukandamizaji wa kisiasa unaofanywa na Viongozi wa Chadema baada ya kudaiwa kupigwa kwa katibu Mwenezi wa (BAWACHA) Bi. Sigrada Mligo na Mlinzi wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema John Heche.

Katika video clip nyingine ikimuonyesha Dada na mwanachama wa chadema anaelalamikia uhuni unaofanywa na Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu kwa kuajiri kikundi cha wahuni kwa kuwashambulia manachama wa Chadema Pamoja na viongozi wengine wanaokwenda kinyume matakwa ya Mwenyekiti huyo.
Mlinzi ni mwajiriwa si mwanachama, kumbuka Makonda alimpiga makofi Jaji Warioba ukumbini, Spika Ndugai alimkung'uta na rungu magombea mwenzake ukumbini, Kolimba aliingia ukumbini mzima na afya njema akienda kuhojiwa kwanini anataka kuhamia Chadema, alitolewa ukumbini akiwa maiti! Wasira aliposhindwa ubunge na binti mdogo kiumri alikasirika akawatuma polisi wavurumishe mabomu ya machozi kila mahali!
 
Hali ya wasiwasi miongoni mwa wananchi, wapenzi, na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) imekuwa ni jambo la kutia wasiwasi na kujadiliwa sana katika kisiasa nchini Tanzania.

Wasiwasi huo unajitokeza kutokana na matukio ya ukandamizaji, vurugu dhidi ya viongozi wake, na matendo ya kihalifu dhidi ya wanachama wa chama hicho.

Matukio ya fujo na vurugu dhidi ya viongozi wa Chadema na wanachama wao yamekuwa yakitokea mara kwa mara ambapo Vitendo hivi vimekuwa vikichukuliwa na wanachama wa Chadema kama ishara za ukandamizaji wa kisiasa unaofanywa na Viongozi wa Chadema baada ya kudaiwa kupigwa kwa katibu Mwenezi wa (BAWACHA) Bi. Sigrada Mligo na Mlinzi wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema John Heche.

Katika video clip nyingine ikimuonyesha Dada na mwanachama wa chadema anaelalamikia uhuni unaofanywa na Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu kwa kuajiri kikundi cha wahuni kwa kuwashambulia manachama wa Chadema Pamoja na viongozi wengine wanaokwenda kinyume matakwa ya Mwenyekiti huyo.
Chama kimejaa wahuni
 
walitekana na kupotezana sana kipindi cha uchaguzi wao wa ndani, sasa wanapigana na kuletana fujo wao kwa wao,

infact,
wakileta fujo nje ya chadema watadhibitiwa na kusambaratishwa vizuri sana na kwa haraka sana, na hawateendelea kuleta hiyo ujinga kwa wananchi wanaendelea kuchapa kazi kwa bidii maeneo mbalimbali nchini 🐒
 
Hali ya wasiwasi miongoni mwa wananchi, wapenzi, na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) imekuwa ni jambo la kutia wasiwasi na kujadiliwa sana katika kisiasa nchini Tanzania.

Wasiwasi huo unajitokeza kutokana na matukio ya ukandamizaji, vurugu dhidi ya viongozi wake, na matendo ya kihalifu dhidi ya wanachama wa chama hicho.

Matukio ya fujo na vurugu dhidi ya viongozi wa Chadema na wanachama wao yamekuwa yakitokea mara kwa mara ambapo Vitendo hivi vimekuwa vikichukuliwa na wanachama wa Chadema kama ishara za ukandamizaji wa kisiasa unaofanywa na Viongozi wa Chadema baada ya kudaiwa kupigwa kwa katibu Mwenezi wa (BAWACHA) Bi. Sigrada Mligo na Mlinzi wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema John Heche.

Katika video clip nyingine ikimuonyesha Dada na mwanachama wa chadema anaelalamikia uhuni unaofanywa na Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu kwa kuajiri kikundi cha wahuni kwa kuwashambulia manachama wa Chadema Pamoja na viongozi wengine wanaokwenda kinyume matakwa ya Mwenyekiti huyo.
Hakuna tofauti kati ya CCM na Bokoharam
 
Back
Top Bottom