Aliyekuwa diwani wa kata ya kaloleni kupitia CHADEMA inasemekana anatafutwa na Polisi kwa tuhumu za kumtapeli mwekezaji mwenza kwenye biashara yao ya utalii. Charles David Mpanda (Rasta) anadaiwa kumtapeli Margaret Lema kiasi cha Dola 16,400 kutoka kwenye akaunti yao ya pamoja.
Hili jambo limenifanya nifikirie upya siasa za bongo. Margaret ni Mdogo wake God bless Lema Mbunge wa Arusha Mjini kwa maana nyingine yale yanayotokea CCM kwa watu wa ukoo mmoja kumiliki chama yanatokea na CHADEMA pia. Mbowe kaoa mtoto wa Edwin Mtei Muasisi wa CHADEMA, Lucy Owenya mbunge wa viti maalum ni mtoto wa Philimon Ndesamburo Mbunge wa Moshi Mjini.
Ukikutana na Rose Kamili Mbunge wa viti maalum ujue ni mzazi mwenzie Dr. Wilbroad Slaa pia ujue kwamba ukikutana na Christina LIssu ni Mdogo wake na Tundu Lissu, na Moulida au Anna Komu Mbunge Viti maalum ni Mke wa mkuu wa Idara ya fedha Makao Makuu CHADEMA, Anthony Komu. Hawa ni wale wanaohusiana kimapenzi na kiukoo hatujui wale wanaohusiana kimaslahi kama vile kibiashara wako wangapi na kwenye ngazi zipi. Lakini jambo hili kwa sababu limetokea CDM basi litatetewa weeee hadi mijasho itukauke.
Aliyekuwa mkuu wa upelelezi Kanda Maalum ya Dar es salaam Abdalah Zombe alidai kwamba Godbless Lema alikuwa ni mwizi wa magari. Sijaona mcharuko mkubwa angalau wa kumshinikiza Zombe aseme anavyojua wizi wa magari wa Lema wala wa kumshinikiza Lema kueleza historia yake ya nyuma kabla hajawa Mbunge inahusiana vipi na wizi wa magari. Wote tuko kimyaa kwa sababu ni mtoto wa nyumbani. Rage kuonyesha Bastola ilikuwa nongwa lakini la Lema ni "Uzushi' wa magamba.

kwa hiyo kwa akili zako unafikiri mimi na wewe tunafanana kwa lolote?Mkuu, hii thread yako imenipa somo sana, ni kweli kabisa Magwanda na Magamba wote wanafanana

Nilijua watu kama nyie mtaibukia na BANNNNN! Sasa wewe akili unazo, lakini hata kuzitumia tuu hutaki?Natoa Tamko: Kuanzia LEO mimi nakupiga BAN!! ya kufa mtu!! Hatutaki wambea huku, wala wazushi, wala waropokaji... kama una ushahidi uweke bayana sio kuropokaropoka tu. watu hao nawafaham fika, majina mengine umeyachonga wala hayapo, mengine umeyajumlishajumlisha wala hayana uhusiano.. BANNNNN!!!
Tokea CDM ianzishwe hao uliowataja ndio waliokuwa wakiangaika nayo mpaka kuwa chama kkuu cha upinzani. Sasa ulitaka kwa kuwa wameifikisha CDM kuwa cha kkuu cha upinzani basi watoswe tu. Kinachokataliwa na watoto na jamaa wa viongozi kubebwa katika nafasi za uongozi kama invyofanyika ndani ya CCM. Hivi ulikuwepo wakati wa Mwalimu wewe, ile Ikulu na JWTZ walijaa watu kutoka Musoma tu. Hoja yako haina matiki mpaka pale utakapoweza kuonyesha nani kati yao kabebwa. Hivi mtu kama Nape ndani ya CCM utasema kabebwa kwa kuwa alikuwa mtoto wa kigogo au anastahili nafasi aliyonayo?
Pamoj na kutofahamu lengo lako hata upotshaji unaouonyesha kwenye hoja yako. Niseme hivi, inawezekana wewe ni mtot wa juz au umesahau jinsi wakati wa utawala wa Mkapa Watnzania walivyokuwa wnaambiwa kwamba wapinzani ni wahuni. Na kwa maeneo ya vijijini vilitumika na bado vinatumika vitisho kuwazuia watu kujiunga na upinzani. Kwa hiyo watu walioingia upinzani ni wale waliokuwa karibu na wale ambao tayari walikuwa ndani ya upinzani ndiyo maana si ajabu kukuta humo mtu na dada, mume, mke, shangazi, mjomba na wengine. Tatizo sio la vyama vya upinzani bali ni la serikali kukubali mfumo wa vyama vingi kwa shingo upande na haikuishia hapo bali vyombo vya dola vilitumika na bado vinatumika kuhujumu vyama vya upinzani.
Ila habari njema ni kwamba Watanzania hawadanganyiki tena na soon mabadliko ya kweli yatatokea Tanzania, GOD IS WITH US
Mwaka jana wakati anagombea tabia zake zilikuwa zinafaa kwa yeye kuwa diwani? Chekeche la chama lilifanya kazi yake ipasavyo?Aliyekuwa diwani ndo leo siyo hata mwanachama wa CDM ...mfate mwenyewe akupe mambo,Margreth ni mwekezeji kama ulivyomsema na wamezinguana na 'aliyekuwa'diwani,sie kama chama inatuhusu nini?
Ulitaka nini hasa kutoka kwetu sie wananchi wa Tanganyika??
NATAKA nionyeshwe tofauti ya CCM na CHADEMA kwenye mambo makubwa wanayoshutumiana. Kama chadema wanasema CCM ni chama cha watoto wa wakubwa kubebwa basi na CHADEMA wasiwepo!hebu taja sehemu ambayo huwezi kuta watu wengi katika jamii au taasisi yenye maslahi ya umma then wenye nasaba hawapo, nenda CUF na vyama vingine. Mfano U.S.A Raisi alianza baba na mtoto akawa raisi hawa ni kina Bush, Clinton alikuwa raisi mkewe nawe alitaka kuwa raisi na leo mke ndio waziri wa mambo ya nje, Uganda Museveni raisi mke waziri so haina shida sana as long as ana fit sio kupeana kama huko CCM
Mkuu, hii thread yako imenipa somo sana, ni kweli kabisa Magwanda na Magamba wote wanafanana