Mi sina kadi na sijawahi kuwa na kadi na wala sitakuja kumiliki kadi, lakini kwanye sanduku la kura ni chadema tu kwa wote, mwaka huu ka chadema hawatakuwepo, nitachagua UKAWA.
Mara yangu ya mwisho kuchagua ccm ni kwa mkapa tu na muhula wa kwanza wa kikwete.