#tag HUJUI KUPLAN πππππ #tag Gari inagurudumu 4 kwenye maisha ya kuplan 1. Matumizi Bora ya ardhi (maeneo maalumu ya Kilimo, UVUVI, Mifugo maana IPO siku tutatafuta maekali ya kupima matikiti Dar ES SALAMA na siyo pwani lazima tubomoe majumba huko) 2. Matumizi Bora ya Watu (watu waliopo Kwa...