Allah's Slave
JF-Expert Member
- Mar 14, 2008
- 562
- 45
Siasa, Siasa, Siasa. Jamani tumechoka na threads za Siasa. Jukwaa la Siasa LIFUNGWE
Nimekuwa nikifuatilia jukwaa la siasa kwa muda sasa na nimeshindwa kuvumilia. Limejaa uzushi, uongo, upuuzi na habari za kusingizia viongozi wetu. Pia nimegundua kuwa halina faida maana tunachoona hapa ni mashambulio na maelezo ya upande mmoja tu. Sidhani kama Kikwete, Lowasa, Mbowe na wengine mnaowasakama hapa watakuja kujitetea hapa. Sasa nawauliza ndugu zangu faida ya jukwaa la siasa ni nini? Hakuna elimu yeyote inayopatikana kutoka kwenye jukwaa hili. Section ya Dini/Imaan na nyinginezo ndio zibaki maana baki ya kutuelimisha ina present maelezo yaliyokuwa balanced. Wenye dini mbali mbali wanatetea wanachoamini.
Jukwaa la siasa halina faida baki ya kashfa za viongozi wetu na mimi nashauri lifungwe. Embu jiulizeni mara ya mwisho kiongozi kawekwa humu ili asifiwe ni lini? Kuto habari za upande mmoja ni uonezi kwao. Kama jukwaa hili halifungwi lisimamishwe hadi hapo Kikwete, Lowasa, Mbowe na wengine mnaowasakama humu ndani wateue watu wa kuwawakilisha.
Pia nimeshuhudia matusi kwenye jukwaa hili la siasa juzi tu. Matusi ambayo huwezi kuyakuta kwenye jukwaa lingine lolote lililomo hapa JF.
In addition to that, Ability ya kila mtu kuweza kuanzisha thread (Kumwaga shutuma zake kwa viongozi) iangaliwe upya. Hoja zinazoletwa nyingi ni za uongo mtupu na hata zikiwa za kweli mada huwa inapindishwa half way through na kugeuzwa kuwa ya kizushi.
(Mods nimeshindwa kuweka Polls naomba Unisaidie watu tupige kura)
Chaguo ni je Jukwaa la siasa lifungwe, lisifungwe, lirekebishwe?
Kama umechoka wewe anza .Umetukuta na umekuja na viroja na vioja ukaacha hoja naona sasa una surrender so tupo tu sisi .Endelea tuache .

Soma maelezo sio unakurupuka tu. Jamani watanzania tukubali kukoselewa.
We nani wa kutuambia nini tusome,tusisome au nini tuchangie au tusichangie!!
Ni kazi kwako ukiona udaku usiokufaa "ACHA KUSOMA" na "KUCHANGIA"
Ninakubaliana na nawe kuwa kuna habari zingine nizakijinga, lakini hulazimishwi kuzisoma wala kuchangia.
Hatuwezi kufunga thread ya siasa kwa sababu kuna watu kwa makusudi wanaleta habari za kijinga ili kuwaondoa watu katika hoja za msingi NA KUIDHARAULISHA JF.
In that case basi jukwaa lirekebishwe ili threads zichujwe na mods kabla ya kuja hapa. Za kijinga zisifike.
FUNGASHA VIRAGO..... HUJASHIKIWA KWA GUNDI HAPA JAMBO FORUM....
In that case basi jukwaa lirekebishwe ili threads zichujwe na mods kabla ya kuja hapa. Za kijinga zisifike.
Siasa, Siasa, Siasa. Jamani tumechoka na threads za Siasa. Jukwaa la Siasa LIFUNGWE
Nimekuwa nikifuatilia jukwaa la siasa kwa muda sasa na nimeshindwa kuvumilia. Limejaa uzushi, uongo, upuuzi na habari za kusingizia viongozi wetu. Pia nimegundua kuwa halina faida maana tunachoona hapa ni mashambulio na maelezo ya upande mmoja tu. Sidhani kama Kikwete, Lowasa, Mbowe na wengine mnaowasakama hapa watakuja kujitetea hapa. Sasa nawauliza ndugu zangu faida ya jukwaa la siasa ni nini? Hakuna elimu yeyote inayopatikana kutoka kwenye jukwaa hili. Section ya Dini/Imaan na nyinginezo ndio zibaki maana baki ya kutuelimisha ina present maelezo yaliyokuwa balanced. Wenye dini mbali mbali wanatetea wanachoamini.
Jukwaa la siasa halina faida baki ya kashfa za viongozi wetu na mimi nashauri lifungwe. Embu jiulizeni mara ya mwisho kiongozi kawekwa humu ili asifiwe ni lini? Kuto habari za upande mmoja ni uonezi kwao. Kama jukwaa hili halifungwi lisimamishwe hadi hapo Kikwete, Lowasa, Mbowe na wengine mnaowasakama humu ndani wateue watu wa kuwawakilisha.
Pia nimeshuhudia matusi kwenye jukwaa hili la siasa juzi tu. Matusi ambayo huwezi kuyakuta kwenye jukwaa lingine lolote lililomo hapa JF.
In addition to that, Ability ya kila mtu kuweza kuanzisha thread (Kumwaga shutuma zake kwa viongozi) iangaliwe upya. Hoja zinazoletwa nyingi ni za uongo mtupu na hata zikiwa za kweli mada huwa inapindishwa half way through na kugeuzwa kuwa ya kizushi.
(Mods nimeshindwa kuweka Polls naomba Unisaidie watu tupige kura)
Chaguo ni je Jukwaa la siasa lifungwe, lisifungwe, lirekebishwe?
Una hubiri sijui au ushetani maana unaanza kwa kashfa kusema nakurupuka .Mie nimepinga mawazo yako na wengi wamekupinga , unarudi tena unasema posts zichujwe na na kijinga zisifike hapa .Haya mambo yako huko CCM mnachujana kwa majungu kabla ya kuja nje , mambo na mawazo ya aina yako China , Iran, Zimbwabwe kwa Mugabe, Saudi Arabia , Venezuela na si hapa JF.Ama fyata fuata mambo yetu ama nenda darhowire au fika kwa michuzi .Otherise funika kopo.
Mtumwa,
una siku si zaidi ya 30 hapa JF na mara umechoshwa na thread za siasa?
Ndiyo nyie akina Ghadaffi mnaosema hakuna haja ya vyama vingi, hakuna haja ya presidential terms, na hamna uvumilivu wa jambo lolote hata mnaloliamini! nahisi hata baada ya politics utataka za michezo zifutwe, na baadaye za vibweka zifutwe!
Alisema kweli aliyesema mpumbavu huongea zaidi ya anayoyajua, bali mwenye busara huongea machache kuliko anayoyajua!
Hivi mnaloongeambona halina ukweli? Angalieni polls zinasemaje. Wengi wanataka jukwaa lirekebishwe. Sasa nyinyi mmkeakazania hoja yangu haifai. Unaweza kukuta hoja yangu ikasaidia kuleta mabadiliko kwenye jukwaa hili na likawa zuri zaidi ya hapa. Votes zinaonyesha tofauti. Kinachotakiwa kijadiliwe sasa tunalirekebisha vipi jukwaa hili.
Allah's Slave
Join Date: Fri Mar 2008
Posts: 138