Allah's Slave
JF-Expert Member
- Mar 14, 2008
- 562
- 44
Siasa, Siasa, Siasa. Jamani tumechoka na threads za Siasa. Jukwaa la Siasa LIFUNGWE
Nimekuwa nikifuatilia jukwaa la siasa kwa muda sasa na nimeshindwa kuvumilia. Limejaa uzushi, uongo, upuuzi na habari za kusingizia viongozi wetu. Pia nimegundua kuwa halina faida maana tunachoona hapa ni mashambulio na maelezo ya upande mmoja tu. Sidhani kama Kikwete, Lowasa, Mbowe na wengine mnaowasakama hapa watakuja kujitetea hapa. Sasa nawauliza ndugu zangu faida ya jukwaa la siasa ni nini? Hakuna elimu yeyote inayopatikana kutoka kwenye jukwaa hili. Section ya Dini/Imaan na nyinginezo ndio zibaki maana baki ya kutuelimisha ina present maelezo yaliyokuwa balanced. Wenye dini mbali mbali wanatetea wanachoamini.
Jukwaa la siasa halina faida baki ya kashfa za viongozi wetu na mimi nashauri lifungwe. Embu jiulizeni mara ya mwisho kiongozi kawekwa humu ili asifiwe ni lini? Kuto habari za upande mmoja ni uonezi kwao. Kama jukwaa hili halifungwi lisimamishwe hadi hapo Kikwete, Lowasa, Mbowe na wengine mnaowasakama humu ndani wateue watu wa kuwawakilisha.
Pia nimeshuhudia matusi kwenye jukwaa hili la siasa juzi tu. Matusi ambayo huwezi kuyakuta kwenye jukwaa lingine lolote lililomo hapa JF.
In addition to that, Ability ya kila mtu kuweza kuanzisha thread (Kumwaga shutuma zake kwa viongozi) iangaliwe upya. Hoja zinazoletwa nyingi ni za uongo mtupu na hata zikiwa za kweli mada huwa inapindishwa half way through na kugeuzwa kuwa ya kizushi.
(Mods nimeshindwa kuweka Polls naomba Unisaidie watu tupige kura)
Chaguo ni je Jukwaa la siasa lifungwe, lisifungwe, lirekebishwe?