siasa ni aina ya biashara?

123cholo

Member
May 20, 2014
14
0
wadau nimekaa na kufikili hv siasa ni biashara maana nikifikili naona siasa inahitaji
1. mtaji(pesa)
2. Wafanyakazi(watu wa kukupigia kampeni)
3. Soko la bidhaa( wananchi)
4. .................................
ni ulize kuna maskini anaweza kugombea na akashinda kwa hv sasa?
 

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,530
2,000
CCM imeifanya siasa ikawa ni biashara tosha kabisa pia ikawa ni chaka la kuficha maovu ya mtu!Chini ya ccm mwanasiasa wa ccm sheria ipo chini yake haimgusi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom