One day one time
Senior Member
- Dec 29, 2011
- 122
- 168
Kwa upande wangu mimi uwa namkubali sana mheshimiwa waziri wa madini nikiamini ni kijana mwenye uwezo mzuri sana wa kuongoza. Hata juzi nikiwa naangalia ufunguzi wa ofisi ya wizara nlipenda alivyoongea sasa leo nmeona kama kituko aiseee habari ya Milard Ayo
View: https://youtu.be/KAuHGDU7TQo?si=8kANEcI_AaOkEE9s
Kalia kisa kuacha dodoma mjini katoa sababu ambazo zimenifanya nione anakimbia changamoto za dodoma mjini vipi soko? Vipi kukua kwa mji mimi sijakubali kwa kwel sababu na kulia hakuendani kabisa.
Sijui siasa ya Tanzania daah
Aje mtu mpya kuchukua dodoma mjini badala angewaachia mtumba huko kama ni jitihada mbona angeweza mrithisha tu