Siasa ni gharama/Mchezo mchafu ila kwa mtindo huu tunaangamiza uchumi!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Hapa sina mengi zaidi mengi yamejikita katika kichwa cha habari.
Laziada.ni hizi chaguzi ndogo zinazo ligharimu taifa pesa nyingi pasiko kuwa na sababu ya msingi!hawa wanaorudi katika chama tawala sikuwa ni wazuri kuliko sisi tuliopo ndani la hasha! Bali ni ule usemi wa siasa mchezo mchafu! Siamini kuwa tulio waita oil chafu leo.wamekuwa lulu hadi kuunguza mabilioni kwa sababu zisizokuwa natija!

Tunavyo vipa umele vingi sana kama mahabara, madawa, na kadhalika! nombe wabunge watakapo kutana Siku ya Jumanne wawasilishe mswada wa dhalura, Mbunge yeyote atakayejiudhuru wadhifa wake hakuna kufanya uchaguzi,atakeyekuwa second runner.ndiye apewe kijiti hata mbunge akitariki itumike njia hiyo hiyo!

Hii tasaidia kufuja pesa za walipa kodi.
Wasalam
 
CCM ni chama cha kis.enge sana. Wanakamua wananchi kodi. Afu wanaenda kuhongea. Mamaeeee.

Ni heri nipigwee risasi ya ubongo nife kuliko kuichagua CCM
 
Hapa sina mengi zaidi mengi yamejikita katika kichwa cha habari.
Laziada.ni hizi chaguzi ndogo zinazo ligharimu taifa pesa nyingi pasiko kuwa na sababu ya msingi!hawa wanaorudi katika chama tawala sikuwa ni wazuri kuliko sisi tuliopo ndani la hasha! Bali ni ule usemi wa siasa mchezo mchafu! Siamini kuwa tulio waita oil chafu leo.wamekuwa lulu hadi kuunguza mabilioni kwa sababu zisizokuwa natija!Tunavyo vipa umele vingi sana kama mahabara,madawa,nakadhalika!nombe wabunge watakapo kutana Siku ya Jumanne wawasilishe mswada wa dhalura,Mbunge yeyote atakayejiudhuru wadhifa wake hakuna kufanya uchaguzi,atakeyekuwa second runner.ndiye apewe kijiti hata mbunge akitariki itumike njia hiyo hiyo! Hii tasaidia kufuja pesa za walipa kodi.
Wasalam
Pambana na hali yako,
 
Back
Top Bottom