Siasa inazidi kuvamia elimu kwa kasi

Siasa inazidi kuvamia elimu kwa kasi

ENANTIOMER

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2014
Posts
1,419
Reaction score
804
ile hali ya wanasiasa kupenda sifa inaendelea kuonekana ktk mambo mbalimbali ktk elimu yetu hasa kupitia necta. basdhi ni haya
1. kwasasa wameondoa penati kwa waliofeli MATHEMATICS. waliopata F za hisababti wote hawajaandikiwa division III. nadhani hili ni lengo la kupata divion one na two za kutosha ili wanasiasa waweze kujisifu.

2. kutungwa mitihani rahisi ili wanafunzi wafaulu. mwaka huu shule nyingi nzuri wamepata matokeo mazuri isivyokawaida. mafano shule ya feza boys inapata division one za pointi 7 kama 12. sisemi wanafunzi wasiafauru, ila wafauru mitihani iliyo sahihi ktk upimaji.
kuna mwaka mitihani inakua migumu sana (mfano mwaka 2012 form4 au 2007 na 2013 form6), hata shule zile zinazojiita nzuri kama feza, kibaha, tabira boys, n.k, matokeo yao hua sio mazuri sana. mitihani migumu sana hitakiwi.

kuna miaka mitihani inakua rahisi sana (mfano 2016 form4), matokeo ya shule nzuri hua yanakua na uzuri uliokithiri. mitihani rahisi sana haitakiwi.
ila yote na yote, mitihani iliyo standard, mgumu sana au mwepesi sana; haiathiri sana matokeo ya shule zile za 'sogea tukae' kwani shule hizo zina changamoto nyingi sana. mtoto asiyejua hana uwezo wa kujibu kitu kigumu sana, chepesi sana, wala cha kawaida. yeye kila kitu kwake ni kigumu. hii inajidhihirisha ktk matokeo ya shule zetu za 'sogeo tukae' ya kila mwaka.

hii ya kutunga mitihani rahisi ili watu wafaulu bila kujali anayefaulu ana nini kichwani, italeta shida kwa hapo baadae.

3. ongeza uvamizi wa siasa ktk elimu.

tushirikiane kuiokoa elimu yetu
 
ifike mahala madarasa tufugie kuku/bata hili ndio tunaloliweza....

Yaani kila mwaka kuna mfumo wake wa utahini je kama ni kweli walikuwa wakipata F za civics/bam/GS/maths na kupigwa penalt je walionewa??
 
wewe huko shule ulienda kusomea ujinga!? mtoa mada kasema kwanini kipindi cha nyuma mtu ukiwa na F ya mathematics hata kama una one au two automatically unajikuta kwenye three lakini kwa matoke ya mwaka huu mtu ana division one lakini unakuta ana F ya hesabu au civics....!!
 
chuki na visasi vya bwana yule dhidi ya uongozi wa bwana yule is ruining everything in this country, for sure we are all f**ed up.
 
wewe huko shule ulienda kusomea ujinga!? mtoa mada kasema kwanini kipindi cha nyuma mtu ukiwa na F ya mathematics hata kama una one au two automatically unajikuta kwenye three lakini kwa matoke ya mwaka huu mtu ana division one lakini unakuta ana F ya hesabu au civics....!! sasa hapo madrasa inahusikaje!?
Hebu rudia kusoma tena halafu unambie wapi nimeandika madrasa???
 
ile hali ya wanasiasa kupenda sifa inaendelea kuonekana ktk mambo mbalimbali ktk elimu yetu hasa kupitia necta. basdhi ni haya
1. kwasasa wameondoa penati kwa waliofeli MATHEMATICS. waliopata F za hisababti wote hawajaandikiwa division III. nadhani hili ni lengo la kupata divion one na two za kutosha ili wanasiasa waweze kujisifu.

2. kutungwa mitihani rahisi ili wanafunzi wafaulu. mwaka huu shule nyingi nzuri wamepata matokeo mazuri isivyokawaida. mafano shule ya feza boys inapata division one za pointi 7 kama 12. sisemi wanafunzi wasiafauru, ila wafauru mitihani iliyo sahihi ktk upimaji.
kuna mwaka mitihani inakua migumu sana (mfano mwaka 2012 form4 au 2007 na 2013 form6), hata shule zile zinazojiita nzuri kama feza, kibaha, tabira boys, n.k, matokeo yao hua sio mazuri sana. mitihani migumu sana hitakiwi.
kuna miaka mitihani inakua rahisi sana (mfano 2016 form4), matokeo ya shule nzuri hua yanakua na uzuri uliokithiri. mitihani rahisi sana haitakiwi.
ila yote na yote, mitihani iliyo standard, mgumu sana au mwepesi sana; haiathiri sana matokeo ya shule zile za 'sogea tukae' kwani shule hizo zina changamoto nyingi sana. mtoto asiyejua hana uwezo wa kujibu kitu kigumu sana, chepesi sana, wala cha kawaida. yeye kila kitu kwake ni kigumu. hii inajidhihirisha ktk matokeo ya shule zetu za 'sogeo tukae' ya kila mwaka.
hii ya kutunga mitihani rahisi ili watu wafaulu bila kujali anayefaulu ana nini kichwani, italeta shida kwa hapo baadae.

3. ongeza uvamizi wa siasa ktk elimu.

tushirikiane kuiokoa elimu yetu
Hoja safi
 
Hahahah tanzania yetu pokitics over errrrthng... Nkajua watot wa sku hz wameshabadilika na kuanza kubukua kumbe ndio yaleyale...
Ngachoka
 
Safisanaaa mzee hoja nzurisana mi naona bora mtu utafutee pesa tuu skuizii maana elimu imekuwa makopo vilaza wanayaokota tuu na kupata sh 200 zaoooo
 
Kama mwanafunzi alizingatia masomo na akasoma akaelewa ukitungwa mtihani rahisi au mgumu atafaulu tu.Na ukiwa rahisi pia ni faida kwake atafaulu kwa kiwango cha juu.
 
mitihani migumu sana na mwepesi sana haitakiwi. kuna validity na reliability ya mtihani. mitihani iwe standard.
unsasema mwanafunzi alizingatia masomo na akasoma akaelewa ukitungwa mtihani rahisi au mgumu atafaulu tu. vipi kuhusu mwaka 2012 hasa tuangalie zile shule nzuri kama feza, kibaha n.k, je walifauru vizuri kama mwaka huu. au tuseme mwaka ule wanafunzi hawakujiandaa? kama wangekua hawakujiandaa,basi ingekua kwa shule baadhi, na sio kwa tanzania nzima.
 
Back
Top Bottom