Siasa imemkalia vibaya Trump

Siasa imemkalia vibaya Trump

Ng'wanamangilingili

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2015
Posts
5,791
Reaction score
4,878
Huyu jamaa ana anaandamwa sana, kweli siasa figisu figisu tu.
1476977544604.jpg
 
hapa marekani sasa tunamuita Mr glab papuchi


swissme
 
Kuna ile hotuba ya Michelle Obama ndiyo imeua kabisa.

I wish Tanzania siku moja tuwe na first lady wa aina ya Michelle Obama
 
Aki-touch Trump Ni tatizo lakini aki-touch Bill Clinton sio tatizo!!!!
Dunia haina usawa!!
 
Aki-touch Trump Ni tatizo lakini aki-touch Bill Clinton sio tatizo!!!!
Dunia haina usawa!!

Mkuu cha ajabu kuna baadhi ya members/Watanzania wana-support utapeli wa Hillary na kundi lake lililo kubuhu kwenye nyanja za kusema Uongo na kumzulia Putin na Asseange, leo hii baadhi ya kudi lake wamebambwa wakitaka kuingilia regista ya wapiga kura - ina maana wamejipanga ku-rig votes!! Mmoja wao alinaswa na kinasa sauti akisema he doesn't care kitakacho tokea atafanya lolote ndani ya uwezo wake kuhakikisha Hillary anashinda - sasa kauli kama hiyo inaleta picha gani?

Pilika pilika hizi zisizo za kawaida kwa upande wa Hillary ndiyo maana nasema labda mambo ayaendi vizuri kwenye grassroot kwa upande wa Hillary, wapambe wake na mumewe wanaonekana kutumia nguvu nyingi - kama Hillary angekuwa that popular kama anavyo Tangazia Dunia asinge angahika sana ku-grease vyombo vya habari ili vimtakase na kutengeneza make-believe opinion polls - swali ni:kama kundi la Hillary wanajiamini kushida kura kwa kishindo - kwa nini wana angahika sana?

Mimi sitachoka kuwakumbusha members kwamba misimamo ya Hillary ni hatari kuliko watu wanavyo mchukulia vile vile ni arrogant na bellicose mno, akishinda Dunia haitakuwa na amani hata kidogo - labda mumewe amu - contain kabla ajaanzisha WW3, mtakuja kuniambia mimi, hali sio nzuri hata kidogo.
 
Back
Top Bottom