Siasa ilimfanya Mchungaji Gwajima kuwa muongo

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Sisi wakaazi wa Kawe hadi leo hatumuelewi mbunge wetu.

Hatumuelewi kwa maana yeye ni mchungaji yaani ni mtumishi wa Mungu.

Alituahidi
1.Kutununulia boti za uvuvi tukimchagua.

2.Alituahidi kutununulia Grader la kuchongea barabara zetu sisi wenyewe kama jimbo la kawe.

3.Alituahidi kutununulia matipa ya kusombea kifusi kwa ajili ya kutengenezea barabara zetu wana Kawe.

4.Alituahidi kutununulia treni wana Kawe kwa fedha zake za kutoka mfukoni mwake.

Leo hii yote ni hewa tupu na yeye anajiita kuwa ni mtumishi wa Mungu.

Inakuwaje mtumishi wa Mungu unakuwa muongo kiasi hiki ?
Hivi kuna haja ya huyu mtu kuendelea kujiita MCHUNGAJI?
 
Hivi kuna haja ya huyu mtu kuendelea kujiita MCHUNGAJI?View attachment 2861655
Sio Gwajima tu bali wanasiasa wote wanatuona sisi kama mbumbumbu flani hivi ndio maana wanatudanganya kila msimu wa uchaguzi ukifika na hatuchoki kuwachagua tena na tena. Tusimlaumu Gwajiboy tujilaumu sisi wenyewe ambao ni wapiga kura tunaodangaywa kwa mambo yale yale ya chama kile kile na sisi tunawachagua wadanganyifu wale wale
 
OK sawa, sasa vipi sisi waumini tunao muamini kama ni Mchungaji?

Je tuendelee kumuamini huyu mtu muongo ?
 
Wala usisingizie siasa mkuu. Huyu si ndio

1. Alidanganya kufufua watu?

2. Alidanganya mkono wa baunsa?

Vyote hivyo alivifanya kabla haaingia kwenye siasa.

Mtu muongo ni muongo tu. Huyu kwanza sio muongo pekee ni mzandiki na snichi
Ubarikiwe sana.
Huyu ni tapeli wa kisiasa na dini pia
 
Sisi wakaazi wa Kawe hadi leo hatumuelewi mbunge wetu.

Hatumuelewi kwa maana yeye ni mchungaji yaani ni mtumishi wa Mungu.

Alituahidi
1.Kutununulia boti za uvuvi tukimchagua.

2.Alituahidi kutununulia Grader la kuchongea barabara zetu sisi wenyewe kama jimbo la kawe.

3.Alituahidi kutununulia matipa ya kusombea kifusi kwa ajili ya kutengenezea barabara zetu wana Kawe.

4.Alituahidi kutununulia treni wana Kawe kwa fedha zake za kutoka mfukoni mwake.

Leo hii yote ni hewa tupu na yeye anajiita kuwa ni mtumishi wa Mungu.

Inakuwaje mtumishi wa Mungu unakuwa muongo kiasi hiki ?
Hivi kuna haja ya huyu mtu kuendelea kujiita MCHUNGAJI?View attachment 2861655
GWAJIMA TAMAA ya fedha za Ubunge imemwingiza kwenye Dhambi ya UONGO

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Yule muongo kichizi ....sema kawe wanaishi misukule huwezi vitu km hivyo halafu wanapiga makofi
Wanaopiga makofi ni wana ccm kuanzia mjumbe wa nyumba 10 hadi pale mjengoni
 
Back
Top Bottom