Siasa hizi, shauri yenu

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Jul 26, 2017
948
1,092
Hivi mnajisikiaje mkiongea au kujitolea matamko kuhusu kujiajiri kwa vijana?

Hivi unajisikiaje kuwa mnafki?

1. Nyinyi wazee na hao vijana wenu wapenda mkate na siagi mnaakili sana kuliko vijana familia masikini eti?

2. Hivi nyinyi vijana mnaohitimu vyuoni eti hamna ajira kwa sababu mnabagua kazi au hamna uzoefu eti? Au hamjui kujielezea nini eti hamjui hata mlisomea fani gani huko vyuoni nini?

3. Hivi ni kweli Tanzania miundombinu ni mizuri sana na masoko ya mazao yapo ya kutosha vijana mnakwama wapi eti?

4. Hivi vijana msiposoma Universities za Majiji makubwa mnapungukiwa akili sana eti?

5. Msipowajali wanasiasa au mkiamua kweli kujiajiri mlishawaambia mtaishije?

Refa maliza mpira au umehongwa wewe elfu kumi nini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom