Siasa basi Mchungaji Rwakatare

ras mkweli

JF-Expert Member
Mar 12, 2012
280
104
Mama Rwakatare (Mchungaji Rwakatare) alisema amebaini kwenye siasa kuna watu wanataka kutumia nafasi hiyo kumchafua jambo ambalo linampa wakati mgumu ikizingatiwa kuwa ana watu wanaomwamini kiroho.
"Sifikirii kwa sasa kugombea ubunge mwakani, siasa ina mambo mengi sana, bora niendelee kumtumikia Mungu, kama wazo litanijia tena ni hapo baadaye," amesema Mama Rwakatare

Una lipi la kumwambia Mchungaji huyu?



source
[h=5]East Africa Television (EATV)[/h]
 
NAAMINI IPO SIKU WATOTO WANGU
WATANIULIZA, BABA KILE CHAMA CHA KIJANI
CHA NCHI YA AHADI KWANINI KILISHINDWA
KIPINDI KILE 2015?? " NITAWAJIBU
HIVI...WANANGU ::
1. KWANZA CHAMA CHA KIJANI KILIKUWA NA
WABUNGE WALIO TETEA WIZI MFANO NI
ASSUMPTA MSHAMA NA LUSINDE KWENYE
SAKATA LA ESCROW, WABUNGE WA CCM
WACHACHE KAMA MAGUFULI NA MWAKYEMBE
WALIKUWA NI UPINZANI KIMTINDO NA
WALIPINGWA SANA NA WANA KIJANI WENGI.
2. LAKINI PIA PESA YA RADA KIPINDI HICHO
WALIKULA WACHACHE MMOJA WAO KATIKA
KILA DILI LA WIZI WA MALI YA UMMA LAZIMA
AWEMO, YEYE ALIKUWA KAPTENI WA TIMU YA
MADILI, MBAYA ZAIDI MTUHUMIWA HUYO WA
WIZI AKAPEWA KUWA MWANDISHI WA KATIBA
YA CHAMA CHA KIJANI!!
3. KINGINE WANANGU NI KASHFA YA
RICHMOND, MAAZIMIO YA BUNGE JUU YA
KASHFA HIYO YALIPIGWA CHINI, WEZI
WAKAJIUZULU NA WAKAAMUA KUHONGA PESA
ZA WIZI MAKANISANI NA KWENYE SHUGHULI ZA
KIJAMII ILI WAPATE URAIS. eti baba wezi
walikuwa wanaiba alafu wanahamishwa vituo vya
kazi au kujiuzulu ili wale pesa vizuri?? NI KWELI
WANANGU, HIYO ILIKUWA NI DESTURI YA
VIONGOZI HAO.
4. KASHFA YA BOT TWIN TOWER ILITOKEA CHINI
YA SERIKALI ILIYO JIITA "SIKIVU" YA CHAMA
CHA KIJANI.
5. KASHFA YA EPA ILITOKEA PIA CHINI YA
UTAWALA WA JAMAA HAO HAO.
6. MWANANGU TWIGA ALIWEKWA KWENYE
NDEGE KAMA VILE BEGI LA NGUO NA
KUTOROSHWA CHINI YA SERIKALI ILIYO JIITA
SIKIVU YA CHAMA CHA KIJANI.
7. SASA KASHESHE IKAWA NI MGOMO WA
MADAKTARI,, YULE ALIYE ONGOZA MGOMO
ALIITWA DK ULIMBOKA ALITEKWA NA
"KUSULUBIWA VIZURI KABISA" ETI NA WATU
WASIO JULIKANA KATIKA UTAWALA HUO HUO.
WANANGU MNADHANI NANI ALIMTEKA, MIMI
NAHISI NI MAJAMBAZI TU, NYIE JE?? "mmmmhh
Baba we nae si unajua tena"!! HAYA TUENDELEE
WANANGU......
8. IKATOKEA KASHFA YA WIZI MKUBWA SANA
KWENYE BANDARI YETU HII YA HAPA DAR CHINI
YA HAO HAO.
9.KASHFA YA MIKATABA ISIYO NA MASLAHI
KWA TAIFA YA GESI NA MADINI ILITOKEA CHINI
YA CHAMA HICHO HICHO KILICHO JIPACHIKA
JINA LA CHAMA SIKIVU.
10. WANANGU MNAONA HII BENKI YA NBC, NA
HIZI NYUMBA ZA SERIKALI, WALIUZA WAO KWA
BEI YA MTUMBA KABISA.
HUYU JIRANI YETU ANA KILEMA ALIPIGWA
RISASI WAKATI ANAJITETEA ASIHAMISHWE
MJINI, ALIKUWA MACHINGA MWANZA PALE
SAHARA NA YULE MWENYE MAKOVU PALE
ALIPIGWA SANA ALIKATAA KUHAMA PALE
MAKOROBOI MWANZA NAYE ALIKUWA
MACHINGA, HATA MAMA NTILIE WALIPIGIKA
VIZURI TU CHINI YA HAO JAMAA.
11. KWA HIYO KWA UZEMBE WA MISAMAHA YA
KODI NA UKWEPAJI KODI, NCHI YETU
WAKAIFANYA OMBA OMBA, WAKATI TUNA KILA
KITU.
.12. AJIRA WATU WAKAPEANA KINDUGU NDUGU
KULE UHAMIAJI, UNAONA HAYA MAGOFU YA
VIWANDA,,, ndiyo baba... WALIVIMALIZA WAO NA
WAKASEMA WATATULETEA AJIRA NA MAISHA
BORA, NA WAKAANZA KUNUNUA VITU NJE YA
NCHI KAMA SUKARI NA MCHELE NA WAKAFANYA
UFISADI HUKO MPAKA WABUNGE
WAKASHANGAA.
13. MBAYA KULIKO YOTE, KATIKA UTAWALA WA
SERIKALI YAO SIKIVU KABISA, TUKASHUHUDIA
MACHAFUKO YA KIDINI AMBAPO WALISHINDWA
KUDHIBITI MAPEMA MPAKA WATU
WAKACHOMEWA NYUMBA ZAO ZA IBADA NA
KUKASHFIWA KILA KONA.
14. CHA AJABU ZAIDI NI ILE KASHFA "ESCROW"
WALITAFUNA BILIONI 306 VIZURI KABISA.. NA
WAKATOA HOTUBA NZURI SANA YA PESA ZETU
ZA "MADAFU".
"Baba uhuru tulipata mwaka 1961," sasa swali
langu ni kwamba..KAMA WANGEKUWA NA
MALENGO MEMA NA WATANZANIA KWANINI
WASINGE SOMESHA WATAALAMU WA MADINI
TOKA MIAKA YA 1970 MPAKA LEO TUNGEKUWA
TUNACHIMBA WENYEWE KAMA KULE ULAYA??
MWANANGU WALISEMA SERIKALI HAINA PESA
TUBAKI KUWA OMBA OMBA.
baba gazeti la ----------- lilifungiwa kwa
kufuatilia sakata gani?? MMMMHH!! ETI
UCHOCHEZI WA.....................................!!
hahhahaha baba malizia basi....
Eti baba kifo cha yule gavana Balali ilikuwaje?? na
kifo cha yule mtangazaji alikuwa anaitwa
eehhhhhh...... WE UNATAKA KUSEMA
MWANGOSI?? yes daddy,, ilikuwaje??
"baba nina swali la uzushi, eti na kesi ya babu
Seya je?? WANANGU HILO SWALI MUULIZE
MJOMBA WAKO. HAYA WANANGU TUTAONGEA
KESHO NGOJA NIWAHI KAZINI.
MIMI NITAWAJIBU HIVYO WANANGU WEWE
JE??
 
hela zimefura na pia hana ubavu wa kusimama kwenye jukwaa la siasa
 
Mama Rwakatare (Mchungaji Rwakatare) alisema amebaini kwenye siasa kuna watu wanataka kutumia nafasi hiyo kumchafua jambo ambalo linampa wakati mgumu ikizingatiwa kuwa ana watu wanaomwamini kiroho.
“Sifikirii kwa sasa kugombea ubunge mwakani, siasa ina mambo mengi sana, bora niendelee kumtumikia Mungu, kama wazo litanijia tena ni hapo baadaye,” amesema Mama Rwakatare

Una lipi la kumwambia Mchungaji huyu?



source
East Africa Television (EATV)
Muongo ameona jimbo alilo taka kugombea la Kilombelo Cdm wame beba vitongoji kama njugu.anasingizia Mungu kwani kabla Mungu hakuwepo?Mama mroho sana anataka vyote yeye mwenyewe
 
Ana haki ya kuamua hivyo maana siasa imemfanya kitu mbaya
1. Shule zake na vyuo vimedolola sana
2. Ni siasa ndizo zilizofanya ajulikane kwamba anaiba umeme kwa kutumia vishoka
3. Hekalu lake lilivujwa
4.Waumini wake wengi wamemkimba kwa kukosa imani nae,hasa alivyofungisha ndoa ya yule bibi mbunge na yule kijana,aliwafugisha ndoa kwa siri ofisini kwake kinyume na taratibu
Kwa kweli siasa haijamnufaisha huyu mama zaidi ya kumshushia heshima aliyokuwa nayo hapo nyuma
 
huyu mama anatumikia siasa na uchungaji nasikia ana historia chafu za kudhulumu vijanja vya watu
 
NAAMINI IPO SIKU WATOTO WANGU
WATANIULIZA, BABA KILE CHAMA CHA KIJANI
CHA NCHI YA AHADI KWANINI KILISHINDWA
KIPINDI KILE 2015?? " NITAWAJIBU
HIVI...WANANGU ::
1. KWANZA CHAMA CHA KIJANI KILIKUWA NA
WABUNGE WALIO TETEA WIZI MFANO NI
ASSUMPTA MSHAMA NA LUSINDE KWENYE
SAKATA LA ESCROW, WABUNGE WA CCM
WACHACHE KAMA MAGUFULI NA MWAKYEMBE
WALIKUWA NI UPINZANI KIMTINDO NA
WALIPINGWA SANA NA WANA KIJANI WENGI.
2. LAKINI PIA PESA YA RADA KIPINDI HICHO
WALIKULA WACHACHE MMOJA WAO KATIKA
KILA DILI LA WIZI WA MALI YA UMMA LAZIMA
AWEMO, YEYE ALIKUWA KAPTENI WA TIMU YA
MADILI, MBAYA ZAIDI MTUHUMIWA HUYO WA
WIZI AKAPEWA KUWA MWANDISHI WA KATIBA
YA CHAMA CHA KIJANI!!
3. KINGINE WANANGU NI KASHFA YA
RICHMOND, MAAZIMIO YA BUNGE JUU YA
KASHFA HIYO YALIPIGWA CHINI, WEZI
WAKAJIUZULU NA WAKAAMUA KUHONGA PESA
ZA WIZI MAKANISANI NA KWENYE SHUGHULI ZA
KIJAMII ILI WAPATE URAIS. eti baba wezi
walikuwa wanaiba alafu wanahamishwa vituo vya
kazi au kujiuzulu ili wale pesa vizuri?? NI KWELI
WANANGU, HIYO ILIKUWA NI DESTURI YA
VIONGOZI HAO.
4. KASHFA YA BOT TWIN TOWER ILITOKEA CHINI
YA SERIKALI ILIYO JIITA "SIKIVU" YA CHAMA
CHA KIJANI.
5. KASHFA YA EPA ILITOKEA PIA CHINI YA
UTAWALA WA JAMAA HAO HAO.
6. MWANANGU TWIGA ALIWEKWA KWENYE
NDEGE KAMA VILE BEGI LA NGUO NA
KUTOROSHWA CHINI YA SERIKALI ILIYO JIITA
SIKIVU YA CHAMA CHA KIJANI.
7. SASA KASHESHE IKAWA NI MGOMO WA
MADAKTARI,, YULE ALIYE ONGOZA MGOMO
ALIITWA DK ULIMBOKA ALITEKWA NA
"KUSULUBIWA VIZURI KABISA" ETI NA WATU
WASIO JULIKANA KATIKA UTAWALA HUO HUO.
WANANGU MNADHANI NANI ALIMTEKA, MIMI
NAHISI NI MAJAMBAZI TU, NYIE JE?? "mmmmhh
Baba we nae si unajua tena"!! HAYA TUENDELEE
WANANGU......
8. IKATOKEA KASHFA YA WIZI MKUBWA SANA
KWENYE BANDARI YETU HII YA HAPA DAR CHINI
YA HAO HAO.
9.KASHFA YA MIKATABA ISIYO NA MASLAHI
KWA TAIFA YA GESI NA MADINI ILITOKEA CHINI
YA CHAMA HICHO HICHO KILICHO JIPACHIKA
JINA LA CHAMA SIKIVU.
10. WANANGU MNAONA HII BENKI YA NBC, NA
HIZI NYUMBA ZA SERIKALI, WALIUZA WAO KWA
BEI YA MTUMBA KABISA.
HUYU JIRANI YETU ANA KILEMA ALIPIGWA
RISASI WAKATI ANAJITETEA ASIHAMISHWE
MJINI, ALIKUWA MACHINGA MWANZA PALE
SAHARA NA YULE MWENYE MAKOVU PALE
ALIPIGWA SANA ALIKATAA KUHAMA PALE
MAKOROBOI MWANZA NAYE ALIKUWA
MACHINGA, HATA MAMA NTILIE WALIPIGIKA
VIZURI TU CHINI YA HAO JAMAA.
11. KWA HIYO KWA UZEMBE WA MISAMAHA YA
KODI NA UKWEPAJI KODI, NCHI YETU
WAKAIFANYA OMBA OMBA, WAKATI TUNA KILA
KITU.
.12. AJIRA WATU WAKAPEANA KINDUGU NDUGU
KULE UHAMIAJI, UNAONA HAYA MAGOFU YA
VIWANDA,,, ndiyo baba... WALIVIMALIZA WAO NA
WAKASEMA WATATULETEA AJIRA NA MAISHA
BORA, NA WAKAANZA KUNUNUA VITU NJE YA
NCHI KAMA SUKARI NA MCHELE NA WAKAFANYA
UFISADI HUKO MPAKA WABUNGE
WAKASHANGAA.
13. MBAYA KULIKO YOTE, KATIKA UTAWALA WA
SERIKALI YAO SIKIVU KABISA, TUKASHUHUDIA
MACHAFUKO YA KIDINI AMBAPO WALISHINDWA
KUDHIBITI MAPEMA MPAKA WATU
WAKACHOMEWA NYUMBA ZAO ZA IBADA NA
KUKASHFIWA KILA KONA.
14. CHA AJABU ZAIDI NI ILE KASHFA "ESCROW"
WALITAFUNA BILIONI 306 VIZURI KABISA.. NA
WAKATOA HOTUBA NZURI SANA YA PESA ZETU
ZA "MADAFU".
"Baba uhuru tulipata mwaka 1961," sasa swali
langu ni kwamba..KAMA WANGEKUWA NA
MALENGO MEMA NA WATANZANIA KWANINI
WASINGE SOMESHA WATAALAMU WA MADINI
TOKA MIAKA YA 1970 MPAKA LEO TUNGEKUWA
TUNACHIMBA WENYEWE KAMA KULE ULAYA??
MWANANGU WALISEMA SERIKALI HAINA PESA
TUBAKI KUWA OMBA OMBA.
baba gazeti la ----------- lilifungiwa kwa
kufuatilia sakata gani?? MMMMHH!! ETI
UCHOCHEZI WA.....................................!!
hahhahaha baba malizia basi....
Eti baba kifo cha yule gavana Balali ilikuwaje?? na
kifo cha yule mtangazaji alikuwa anaitwa
eehhhhhh...... WE UNATAKA KUSEMA
MWANGOSI?? yes daddy,, ilikuwaje??
"baba nina swali la uzushi, eti na kesi ya babu
Seya je?? WANANGU HILO SWALI MUULIZE
MJOMBA WAKO. HAYA WANANGU TUTAONGEA
KESHO NGOJA NIWAHI KAZINI.
MIMI NITAWAJIBU HIVYO WANANGU WEWE
JE??

I love the artwork.
 
Watu wanaomwamini kiroho???!!!
Mfano mimi ninamwamini Mungu tu kwa upande wa kiroho. Sasa ina maana kuna waumini wanamwamini huyu mama kiroho!!! Na siyo Mungu tena:confused::confused::confused: Mimi nafikiri waumini wanapaswa kusikiliza viongozi wa kiroho na kumuamini Mungu kupitia neno lake. Sasa wanamwamini huyu mchungaji kiroho halafu ni mwanamke!!!
 
hela zimefura na pia hana ubavu wa kusimama kwenye jukwaa la siasa
 
Hana jipya huyo, anajua kina mama wa morogoro hawatamchagua tena. Aliwaahidi kila mjumbe atampa gari na kumjengea nyumba akipata ubunge. Baada ya kupata ubunge hajarudi jimboni mpk saiv tunavyoongea. Halaf eti ni mtumishi wa mungu. Mtumishi wa mungu my foot!!
 
Mama unawajibu wa kujibu maswali ya Watanzania ambayo ni mengi na hayana majibu.

1. Kwa nini ulinyamaza kimya ulipoona uovu unatamalaki ndani ya cc mbele ya macho yako?

2. Uliona mjadala wa Escrow na namna ccm ilivyokuwa imejizaatiti kuona hakuna mtu anawajibika. Wewe ukaa kimya.

3. Uliona na ulikuwa mjumbe wa BMK, ukashiriki bila hata hofu yoyote kupigia kura ya ndiyo katiba iliyokuwa inawanyonga na kuwazika watanzania wakiwa wanapumua. Ukaridhia na kuafiki maamuzi haya haramu. Halafu leo unasema unakwenda kumtumikia Mungu, kwa namna gani?

Kwa nini ulifanya unafiki na kuridhia maovu ya chama chako bila kuona kama hutendi haki mbele za Mungu?

Naomba maelezo mama ili twende sambamba.
 
Back
Top Bottom