Tyta
JF-Expert Member
- May 21, 2011
- 12,767
- 10,536
So mtoa mada is half guy, is half gay??
naomba nisijibu kwa niaba
So mtoa mada is half guy, is half gay??
Suala la kupata au kutopata mfadhaiko ni uamuzi wa mtu.......
Hata sasa hivi nikitaka kupata mfadhaiko kwa kutazama tu avatar yako napata
Watu wanadhani hilo ni jambo linalotokea tu hivihivi bila kujua sababu ni wao wenyewe
Hata mwanamke akae uchi wa mnyama kama sijataka kusisimkwa sisisimkwi kabisa
I can control my feelings and my body
Am not an animal...!!!!!!!
Kitendo cha wanaume kukodolea sana wanawake hasa warembo ndo tatizo linalowaingiza wanaume wengi kwenye matatizo, leo nawapa siri yangu inayonifanya nisianguke kwenye tamaa za mara kwa mara, siangalii mwanamke mara mbili, hata akiwa mzuri namna gani, nikimuona mara ya kwanza sigeuzi tena shingo kwake. Unajua nini, ukigeuza tena utajikuta unaanza kutamani ana figure nzuri, mara macho yake noma na hata wale wapenda mizigo mikubwa utasema lile ---- noma, huo ndo mwanzo wa tamaa na matatizo.
aaahh..., hatimae nimekutana na uzi huu mzuri, hongera sana mtoa mada.
na hatimae limeongeleka hadharani kwamba wanaume kuwakwa na tamaa ni mtu mwenyewe na hisia zake.
nilikuwa nikijiuliza sana, kwann wanaume wanawaka tamaa sana? kumbe nimepata jibu leo, ni kujidekeza tu, mkiamua kukauka mnaweza, sasa inakuwaje wengine wanalalamika eti mavaz ya mabinti na maumbile yao yanawakwaza!
si kweli, mmeishapewa mbinu, na isitoshe, mngekuwa hamkodolei macho, hao mabinti wasingevaa kiajabu.
asante sana mtoa uzi, nimetoa dukuduku langu.
Nakuzoom juu hadi chini. Kama unalipa nakula kwa macho.
to every action there is equal and opposite reaction
![]()
Chezeya kukodolea mimacho...kina Majuto na Bambo hadi wametoa muvi kwa ajili ya hiyo makitu