charty
JF-Expert Member
- Oct 28, 2013
- 7,460
- 6,001
Acha woga binti wa kike. Basi njoo with, afu mi ntakufanya uwe without.
ushindwe kabsa hilo pepo la uzinzi likutokee mwee
Acha woga binti wa kike. Basi njoo with, afu mi ntakufanya uwe without.
kumiliki watoto wazuri tushindwe,hata kuangalia pia tushindwe???? kha.?
eti halafu hutaki kuangalia.....mi'nakushangaa....
Ulizaliwa lini mwenzetu? Haya endelea hivyo hivyo!!!!!!!!!!!!!! Hv kwanza unakaa wapi?Kitendo cha wanaume kukodolea sana wanawake hasa warembo ndo tatizo linalowaingiza wanaume wengi kwenye matatizo, leo nawapa siri yangu inayonifanya nisianguke kwenye tamaa za mara kwa mara, siangalii mwanamke mara mbili, hata akiwa mzuri namna gani, nikimuona mara ya kwanza sigeuzi tena shingo kwake. Unajua nini, ukigeuza tena utajikuta unaanza kutamani ana figure nzuri, mara macho yake noma na hata wale wapenda mizigo mikubwa utasema lile ---- noma, huo ndo mwanzo wa tamaa na matatizo.
Umeona eh. Walah mi nna hamu sana ya kukutia machoni we mrembo. Hebu ni wozap picha yako mtoto wa mwanamke mwenzio nipate apetaiti ya kula apple.
ushindwe kabsa hilo pepo la uzinzi likutokee mwee
![]()
Kodolea na hii sasa ......!!!!!!!!
Tena wewe nikibahatika kukutana wewe, ntakuangalia mpaka upate mimba. Mi penda sana totoz walah. Mungu ashukuriwe kwa uumbaji wake mantashau.
Suala la kupata au kutopata mfadhaiko ni uamuzi wa mtu.......
Hata sasa hivi nikitaka kupata mfadhaiko kwa kutazama tu avatar yako napata
Watu wanadhani hilo ni jambo linalotokea tu hivihivi bila kujua sababu ni wao wenyewe
Hata mwanamke akae uchi wa mnyama kama sijataka kusisimkwa sisisimkwi kabisa
I can control my feelings and my body
Am not an animal...!!!!!!!