Siangalii mwanamke mara mbili.

Siangalii mwanamke mara mbili.

Google huu mstari WA biblia.....ikiwa nimeweka nadhiri, nawezaje kugeuka na kumtazama mwanamke?
 
kama huo ndio mtihani basi mimi nishasup,na kucarry na wala sihitaji kusapua
 
kumiliki watoto wazuri tushindwe,hata kuangalia pia tushindwe???? kha.?
 
hata mimi huwa naangalia mara moja ila nikilikodoa jicho ni mpaka anaenda kwenye umbali ambao simuoni.mara moja tu
 
wwi_650_122413114253.jpg

men-staring-at-woman.jpg

Men-Spend-43-Minutes-a-Day-Staring-at-Women-2.jpg

b15.jpg
 
congratulation ndugu
Suala la kupata au kutopata mfadhaiko ni uamuzi wa mtu.......
Hata sasa hivi nikitaka kupata mfadhaiko kwa kutazama tu avatar yako napata
Watu wanadhani hilo ni jambo linalotokea tu hivihivi bila kujua sababu ni wao wenyewe
Hata mwanamke akae uchi wa mnyama kama sijataka kusisimkwa sisisimkwi kabisa

I can control my feelings and my body
Am not an animal...!!!!!!!
good boy
 
Mkuu Tyta hapo juu, Mungu akubariki kwa huu utukufu ulioubandika.
 
Last edited by a moderator:
Suala la kupata au kutopata mfadhaiko ni uamuzi wa mtu.......
Hata sasa hivi nikitaka kupata mfadhaiko kwa kutazama tu avatar yako napata
Watu wanadhani hilo ni jambo linalotokea tu hivihivi bila kujua sababu ni wao wenyewe
Hata mwanamke akae uchi wa mnyama kama sijataka kusisimkwa sisisimkwi kabisa

I can control my feelings and my body
Am not an animal...!!!!!!!
Point.....ukiangalia then ukaanza kutengeneza hisia mfadhaiko lazima nje ya hapo hakuna kitu hata akitembea uchi,kwanini tahira anayetembea uchi mfadhaiko usipatikane ukapatikani kwa aliyevaa?
 
Mie mwenyewe,penda totoz with big butts wakitembea vibration kama puto lililojazwa maji lol...
If i were a man!.....
 
Friendship,

courtship,

marriage,

family.
 
Point.....ukiangalia then ukaanza kutengeneza hisia mfadhaiko lazima nje ya hapo hakuna kitu hata akitembea uchi,kwanini tahira anayetembea uchi mfadhaiko usipatikane ukapatikani kwa aliyevaa?

Kabisa mkuu...!!!!!

Mwehu akiwa uchi hawamtaamani
Sijui kwanini ...!!!!!
 
Back
Top Bottom