MAUBIG
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,040
- 858
Mi naendaga bichi naangalia wala hakuna matatizo yoyote ninayoyapata!!
Unachukua stimu za masturbation nini mkuu, hayo ni madhara pia, no offence man
Mi naendaga bichi naangalia wala hakuna matatizo yoyote ninayoyapata!!
mbona hujagonga kitufe cha like?
Unachukua stimu za masturbation nini mkuu, hayo ni madhara pia, no offence man
Suala la kupata au kutopata mfadhaiko ni uamuzi wa mtu.......
Hata sasa hivi nikitaka kupata mfadhaiko kwa kutazama tu avatar yako napata
Watu wanadhani hilo ni jambo linalotokea tu hivihivi bila kujua sababu ni wao wenyewe
Hata mwanamke akae uchi wa mnyama kama sijataka kusisimkwa sisisimkwi kabisa
I can control my feelings and my body
Am not an animal...!!!!!!!
thanx my brother ila sentensi ya mwisho inatuonyesha jinsi tulivyo na wanyama wengi wenye maumbile ya ubinadamu!
Hujaelewa nilichoandika!!!!!!!!!!!!!!
Kitendo cha wanaume kukodolea sana wanawake hasa warembo ndo tatizo linalowaingiza wanaume wengi kwenye matatizo, leo nawapa siri yangu inayonifanya nisianguke kwenye tamaa za mara kwa mara, siangalii mwanamke mara mbili, hata akiwa mzuri namna gani, nikimuona mara ya kwanza sigeuzi tena shingo kwake. Unajua nini, ukigeuza tena utajikuta unaanza kutamani ana figure nzuri, mara macho yake noma na hata wale wapenda mizigo mikubwa utasema lile ---- noma, huo ndo mwanzo wa tamaa na matatizo.
En zen?
Kitendo cha wanaume kukodolea sana wanawake hasa warembo ndo tatizo linalowaingiza wanaume wengi kwenye matatizo, leo nawapa siri yangu inayonifanya nisianguke kwenye tamaa za mara kwa mara, siangalii mwanamke mara mbili, hata akiwa mzuri namna gani, nikimuona mara ya kwanza sigeuzi tena shingo kwake. Unajua nini, ukigeuza tena utajikuta unaanza kutamani ana figure nzuri, mara macho yake noma na hata wale wapenda mizigo mikubwa utasem
a lile ---- noma, huo ndo mwanzao wa tamaa nay matatizo.
angalia macho yasitue mahali, utaja lia
Kitendo cha wanaume kukodolea sana wanawake hasa warembo ndo tatizo linalowaingiza wanaume wengi kwenye matatizo, leo nawapa siri yangu inayonifanya nisianguke kwenye tamaa za mara kwa mara, siangalii mwanamke mara mbili, hata akiwa mzuri namna gani, nikimuona mara ya kwanza sigeuzi tena shingo kwake. Unajua nini, ukigeuza tena utajikuta unaanza kutamani ana figure nzuri, mara macho yake noma na hata wale wapenda mizigo mikubwa utasema lile ---- noma, huo ndo mwanzo wa tamaa na matatizo.
Saa moja kati ya masaa ishirini na nne? Kumbe tatizo linakuzwa bure tu.
simu yangu haina hicho kitufe aisee! ningegonga like kama mia hivi!
Ni vzur kuangalia uumbaj wa Mungu
nitakusaidia angalau moja.