Siangalii mwanamke mara mbili.

Siangalii mwanamke mara mbili.

Muachege kutuangalia hadi 2najikwaaga na kuharibu kucha zetu ebo!!

Na nyie punguzeni mbwembwe, watotö mnatufanyia makusudi kila siku boxer zinatoboka kwa mbele.
 
pamoja na gharama ya boxer kutoboka bado hukomi?
 
no sio kwamba siamini...unajua ni wanaume WACHACHE sana walio na muamko huo na wakameintein...so zaidi ya yote mi nikutakie kila la kheri na Baraka za Mwenyezi Mungu zitakuwa nawe inshaallah!
ina maana huamini kama nipo hivyo jamiif.
 
Wanawake ni utalii wa ndani, hauhitaji Kagasheki wala nani, tembo wenyewe washamalizwa.

Jamaa atakuwa ana matatizo. Badala ya kuangalia utukufu wa Mungu eti anaangalia pembeni. Watu wengine bana.
 
Rotflmfao.

Na wewe nakukusanyia nguvu, siku ntakapokutia machoni, utajuta kwanini ulizaliwa alhamisi usiku wakati mvua inanyesha. Ntakuangalia mpk naniliu ijivue yenyewe.
 
Muachege kutuangalia hadi 2najikwaaga na kuharibu kucha zetu ebo!!

4a2e27e1339787352671e1cddb773973.jpg
 
Wanawake ni utalii wa ndani, hauhitaji Kagasheki wala nani, tembo wenyewe washamalizwa.

Umeona eh? Wengine lunch yetu tunaipatia posta maeneo ya IFM. Ukikodolea macho totoz za mitaa ile njaa yote kwishney. Then nikirudi home kwa bibi yenu, anapata bakora kwa niaba ya totoz. Totoz zinaongeza nguvu za kiume wallah
 
no sio kwamba siamini...unajua ni wanaume WACHACHE sana walio na muamko huo na wakameintein...so zaidi ya yote mi nikutakie kila la kheri na Baraka za Mwenyezi Mungu zitakuwa nawe inshaallah!
funny-picture-behind-every-girl-is-a-guy-staring-at-her-ass-540x564.jpg
 
Na wewe nakukusanyia nguvu, siku ntakapokutia machoni, utajuta kwanini ulizaliwa alhamisi usiku wakati mvua inanyesha. Ntakuangalia mpk naniliu ijivue yenyewe.
En zen?
 
Last edited by a moderator:
no sio kwamba siamini...unajua ni wanaume WACHACHE sana walio na muamko huo na wakameintein...so zaidi ya yote mi nikutakie kila la kheri na Baraka za Mwenyezi Mungu zitakuwa nawe inshaallah!

sadakta.
 
Back
Top Bottom