Siamini tena wanawake wapole

Nadhani alikua anakupa msg kwamba wewe sio type yake ila hukuelewa.
 
Mkuu nitumie namba yake ili nimshauri
 
Inaonekana ulimpenda,ila hakukupenda yaani unalazimisha mapenzi, na huko kuku kubali inawezekana alikuonea huruma tu,ila bado hajakupenda,MTU aliekupenda kweli hawezi kukuonesha dharau namna hiyo,
 
Nawe si ule mzigo uondoke?
Uendelee nn wakati kakuambia usimfatilie?
 
 
Wanawake wa kinyaturu wana mambo mengi sana bwana mdogo, na wala sio wapole
 
Ulikurupuka,hukufanya qualitative research pambana sasa
 
Hutaki mpole...subiri uletewe mkali! Atakapoanza "kutema cheycheeeeee" ndo urudi kutulilia hapa
 
Itabidi na wewe uwe mlokole kiukweli ili shetani asikupate.

Maana unawatangazia watu siri za mkeo, hivi ulienda jandoni kweli wewe?
 
moshi sehemu gani mkuu, nielekeze yawezekana namfahamu nikupe A to Z ya tabia zake
 
Pole sana mkuu,shida yetu sisi wanaume wengi huwa tunafanya assumption ya mwanamke bora kwa kumuangalia nje e.g uzuri wa sura,upole,kuongea,kucheka,maumbile (mnene,mwembamba,mrefu,mfupi) n.k.ila ukishaweka ndani ndio unagundua kuwa haukuwa muangalifu kwenye kufanya uchaguzi..
 
Itabidi na wewe uwe mlokole kiukweli ili shetani asikupate.

Maana unawatangazia watu siri za mkeo, hivi ulienda jandoni kweli wewe?
mkuu ukisema atunze siri tusingepata fursa ya kuchangia hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…