Siamini ninachokiona sasa hivi ITV

Siamini ninachokiona sasa hivi ITV

Mnanso umenichefua sana, nimekimbilia kufungua nidhani ni kuhusu Dr Slaa, kumbe!! Hadi nimejikwaaa.
 
Mnanso umenichefua sana, nimekimbilia kufungua nidhani ni kuhusu Dr Slaa, kumbe!! Hadi nimejikwaaa.

Well, sasa nimeelewa kwa nini mpaka leo Shigongo anazidi kutajirika kwa kuchapisha uongo kumbe wateja wake mmo humu pia.
 
Ninayo lakini sijui jinsi ya ku post
 
Mkuu, binafsi nilii note hiyo. Mimi niltazama taarifa ya habari ya ITV.

Ila kuna kitu pia tufahamu kuwa, ripota wa mikutano ya kampeni ya Magufuli wa ITV anaitwa Emmanuel Buhohela.

Kamwe hawezi kuripoti "negative side" ya kampeni za bwana huyu. Na ikitokea kamera imenasa "unusual incidence" na mtazamaji akaliona na kuli note, tambua kuwa, the situation was more than worse!!

Mcheki hata Magufuli mwenyewe speed ya "kupiga domo" aliyoanza mayo inapungua na hajamaliza hata quarter ya time ya kampeni!!

Recently, nimemwona anaongea kwa upole na anatia Huruma. Ni wazi ameshaipata Picha kwamba, mambo ni magumu na so rahisi kama alivyokuwa anafikiri!!

Unatakiwa uwe na roho ngumu sana kushindana na lowassa
 
Hakuna permanent friends...kuna permanent interests

Tukumbuke hata Mhe Mkumba alihamia Chadema (bila kuaga) akashinda huko siku tatu nne halafu akarudi CCM (bila kuaga alikotoka). Ni kweli kabisa kwenye siasa hakuna permanent friends...kuna permanent interests
 
......kama ni waungwana wa kutosha na mnampenda lowassa, mwambieni apumzike, mhurumieni hata afya take, mi nilimpenda tulipokuwa wote ccm, ila Magufuli nimempenda zaidi, viva magifuli viva ccm!!!!!!pumzika

Unamkubali kimoyomoyo tokeza nje uonekane kabisa 🙂🙂 avatar yako tuu inajinasibu.
 
Aisee mh Emanuel Nchimbi anamnadi Magufuli na kusema hakuna rais atakae faa kama Magufuli, nimeshangaa sana
Mbona humalizia alipowauliza rais wenu nani?,wakajibu Lowassa kundi kubwa na Dogo magufuli
 
Ndiyo hivyo mwisho wa siku achukue lowasa achukue magufuli tutabaki kuwa ndugu sisi ni watanzania
 
Back
Top Bottom