ITV acheni unafiki na upotoshaji wa taarifa zenu

ITV acheni unafiki na upotoshaji wa taarifa zenu

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,325
Reaction score
7,788
Jana katika taarifa yenu ya saa mbili usiku mlitoa taarifa kuhusu Mtanzania Joshua Mollel aliyeuwawa na Magaidi wa Hamas huko Israel kisha kuiteka nyara maiti yake na kuipeleka Gaza.

Katika taarifa ya ITV jana taarifa hiyo ilipotoshwa na kuelezwa kuwa Joshua Mollel aliuwawa kwenye mapiganio huko Gaza utadhani naye alishiriki kwenye vita hivyo kama mwanajeshi kitu ambacho si kweli kabisa.

ITV acheni upotoshaji na uongo kwenye taarifa zenu!

IMG_4584.jpeg
 
Humo wamejaa akili za u CCM unategemea nini?
 
Jana katika taarifa yenu ya saa mbili usiku mlitoa taarifa kuhusu Mtanzania Joshua Mollel aliyeuwawa na Magaidi wa Hamas huko Israel kisha kuiteka nyara maiti yake na kuipeleka Gaza.

Katika taarifa ya ITV jana taarifa hiyo ilipotoshwa na kuelezwa kuwa Joshua Mollel aliuwawa kwenye mapiganio huko Gaza utadhani naye alishiriki kwenye vita hivyo kama mwanajeshi kitu ambacho si kweli kabisa.

ITV acheni upotoshaji na uongo kwenye taarifa zenu!

View attachment 3504889
Akina Bakari Machumu
 
Mimi huwa sifatilii kabisa habari za hii ITV huwa siziamini.. kifupi TVs za bongo zote kwenye habari ni Sinema Zetu tu hamna la maana..
 
Mtu na akili timamu huwezi kufatilia media za kibongo

Ova
 
ITV my favorite station until 30th Oct ndio nikawavua nyota zote Yani Kila nikisikiliza vipindi vyao watangazaji nawaona kama viazi woooote,kifupi Redio zote nchini wangefunga tu huo ushuzi maana hatuhitaji vyombo VYA habari VYA aina hii.Na nyie watangazaji eleweni tu mnachoreka kishenzi ni Bora mngekuwa mnapiga tu mziki.Mimi ni mwandishi wa Habari
 
Back
Top Bottom