Siamini ninachokiona sasa hivi ITV

Siamini ninachokiona sasa hivi ITV

Aisee mh Emanuel Nchimbi anamnadi Magufuli na kusema hakuna rais atakae faa kama Magufuli, nimeshangaa sana
Mbowe kumkaribisha LOWASA ni ajabu kuu la dunia. Mbona hilii hukushangaa.
 
Makuhaba kama jana uliangalia Itv taarifa ya habari ungeona ujuha wa Nchimbi uwanja wa majimaji songea
 
Hata hao wanaoa kwenye mikutano siyo wapiga kura

Kweli. Wengine wapo hapo mkutanoni kama sehemu tu ya burudani.

Wanasiasa wengi waongo. Pia, wapiga kura wengi waongo vile vile....
 
Mimi nilisikia anasema hatutaki mfano wa Rais tunataka rais alafu akawauliza wananchi "Rais ajaye ni nani wakagawanyika wengne Lowassa wengne Magufuli" yeye akasistiza ni Magufuli. Mwenye hiyo video atupie hapa najua wengi hawakunoti hiyo kitu.
 
Mkuu, binafsi nilii note hiyo. Mimi niltazama taarifa ya habari ya ITV.

Ila kuna kitu pia tufahamu kuwa, ripota wa mikutano ya kampeni ya Magufuli wa ITV anaitwa Emmanuel Buhohela.

Kamwe hawezi kuripoti "negative side" ya kampeni za bwana huyu. Na ikitokea kamera imenasa "unusual incidence" na mtazamaji akaliona na kuli note, tambua kuwa, the situation was more than worse!!

Mcheki hata Magufuli mwenyewe speed ya "kupiga domo" aliyoanza mayo inapungua na hajamaliza hata quarter ya time ya kampeni!!

Recently, nimemwona anaongea kwa upole na anatia Huruma. Ni wazi ameshaipata Picha kwamba, mambo ni magumu na so rahisi kama alivyokuwa anafikiri!!
 
Nchimbi body language inaonesha tu hayupo na Magufuli.Wananchi wanajibu Lowassa dah hii ni aibu
 
Aisee mh Emanuel Nchimbi anamnadi Magufuli na kusema hakuna rais atakae faa kama Magufuli, nimeshangaa sana

Anajua rais bora ni Lowasa na alipowauliza wananchi kuhusu rais bora ni nani wananchi wakamjibu ni Lowasa
 
......kama ni waungwana wa kutosha na mnampenda lowassa, mwambieni apumzike, mhurumieni hata afya take, mi nilimpenda tulipokuwa wote ccm, ila Magufuli nimempenda zaidi, viva magifuli viva ccm!!!!!!pumzika
 
Back
Top Bottom