Mioyo siyo transparent. Huwezijua kinachoendelea kichwani mwake!
He is eating behind their back
Mioyo siyo transparent. Huwezijua kinachoendelea kichwani mwake!
Hata hao wanaoa kwenye mikutano siyo wapiga kuraSiasa ziko hivyo...
Usiwaamini sana wanasiasa.
Muda mwingi changanya na zako...
Chama kwanza mtu baadaye ,alikuwa anamuunga mkono Lowassa alipokuwa CCM,akiamini kuwa ni haki yake kumuunga mkono anayemtaka,lakini si kuwa kama tuxedo ya Lowassa eti kwa kuwa Lowassa kaondokaCCM basi nae Nchimbi amfuate huko alikoenda,Uwezo wa Nchimbi ni tofauti na uwezo wa akina Mngeja,Mahanga,Ole Medei,Msindai ambao ni chooni tu ndio wanashindwa kumfuata mheshimiwa,au mlidhani ndio atakuwa kati ya wabunge 50 ambao mlidanganywa na aliyekatwa kuwa atahama nao.Nchimbi ni mpuuzi alikuwa jasiri kuonesha tofauti wazi wazi. Anapobadilika overnight kila mtu anamshangaa. Anaomba nafasi lkn he is hopeless....ndiyo alikuwa waziri wetu tena Home Affairs!!!
Nchimbi ni mwaminifu kwa chama chake cio kama wale wanaokatwa majina na kuhama ili wapate madaraka
Hiyo ITV ni yako oeke yako ,maana mimi nimeangalia itv cjaona sehem nchimbi kamnadi magufuli
Aisee mh Emanuel Nchimbi anamnadi Magufuli na kusema hakuna rais atakae faa kama magufuli.nimeshangaa sana
Nchimbi ndio nani? Huyo muuza dawa za kulevya hana ishu.
Aisee mh Emanuel Nchimbi anamnadi Magufuli na kusema hakuna rais atakae faa kama magufuli.nimeshangaa sana
Nchimbi ndio nani? Huyo muuza dawa za kulevya hana ishu.
Unashangaa nini.
Mbona hushangai waliokuwa wanamwita Lowassa fisadi na kumtukana matusi mabaya hadharani sasa hivi wanamnyenyekea na kumwita mwokozi..mtume...yesu..mussa...etc?
Nchimbi ndio nani? Huyo muuza dawa za kulevya hana ishu.