Nchimbi ni mpuuzi alikuwa jasiri kuonesha tofauti wazi wazi. Anapobadilika overnight kila mtu anamshangaa. Anaomba nafasi lkn he is hopeless....ndiyo alikuwa waziri wetu tena Home Affairs!!!
Kwa namna nilivyomwona Nchimbi pale Songea, anatia mashaka sana kama yupo na Magufuli kiuhalisia. Ni kama amejaa unafiki fulani hivi. CCM wajihadhali naye.