BLACK MARXIST
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 2,462
- 5,368
Huyu dada ana tatizo alilokuwa nalo mwanamke wangu, ila nimemtuliza na hana makuu. Anahitaji msaada huyu na sio kashfa.Inaonekana wanaume wanamtenda sana huyu dada, ndio maana ana hasira nao... Kila topic anawananga wanaume