Siamini ninachokiona kwa wanaume wa kileo

Huyu atakuwa psychologically distorted si bure,anahitaji kusaidiwa zaidi kuliko kupuuzwa!!.
IMG_20180514_104012.jpg
IMG_20180514_103950.jpg
 
Duuuuu magari sio kitu ndugu....

Hatujaja duniani ili kumiliki magari, jitahidi uwe msafi wa roho, roho ndio thamani ya utu..

Huo mwili unaolinga nao ni kasha tu lililobeba kitu cha thamani ndani yake,...

Leo hii ukifa huo mwili siku mbili tu unatoa harufu mbaya na nuru yote inapotea ndani ya muda mfupi...

Be humble
 
Ni aibu kubwa mwanaume wa 30+ una nguvu zako,huna ulemavu wowote,unautimamu wa ubongo, watoto wa shule wanaomba lift asubuhi unawasimamishia gari wanakuja mbio kupanda mara na limwanaume nalo hiloo mbio kudandia lift ya bure, 30+ hukoo really???? ?
nacheka kama mazuri lakini nimeshanga sana,sasa huku duniani unafanya nini??
Wa kwako yukoje? Au huna?
 
Najiuliza siku akinunua ndege kama gwajima wote atatutoa taulo wanaume hehehehe nacheka kichaga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom