Ukweli ni kwamba ume generalize, wanaume wote hawawezi kuwa sawa.
Na ukiamua kuona redflag, hakuna mwanamme asiye na redflag.
Kwa hiyo, unaweza kujifanya Malkia wa Sheba unayemtafuta mwanamme asiye na redflag ukaishia kubaki peke yako.
Pia, kama hupendi wanaume waliofanikiwa kwa kufikiri hawako wenyewe, tafuta kijana asiyefanikiwa basi.
Kama hutaweza kujiuliza "Huyu mbona kijana na hana mtu, lazima atakuwa na mtu tu".
Unatakiwa kuwa na ushahidi kabla ya ku entertain hizo redflag, si unajiwekea redflags za kinadharia tu.
Ultimately, hayo ni maisha yako na wewe ndiye unachagua wa kuwa naye, au hata ukichagua kuwa peke yako kwa sababu kila mwanamme ana redflag ni sawa tu.