Good observation, kuwepo wachache maana yake wapo, tofauti na anayesema hakuna hata mmoja, tena anasema ni wafanyakazi wa ubalozi tu ndio middle class. Na kama wanafanya kazi masaa mengi ni jambo jema vile vile.
Nina rafiki yangu mzungu anafanya kazi kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa 2 usiku, kila siku, anapumzika mara mbili ay tatu kwa wiki. Income yake Gross ni well above laki 4 kwa mwaka, lakini yeye mwenyewe anajiita normal class.
mim binafs nipo US na ni.middle class najiamini.because ninaingiza usd 15000 per day kitu ambacho ata wazawa wengi.hawaezi
Hii sijaisikia Merekani.
kila mtu haki ya kuongea ilimradi asimtukane mtumim binafs nipo US na ni.middle class najiamini.because ninaingiza usd 15000 per day kitu ambacho ata wazawa wengi.hawaezi
mim binafs nipo US na ni.middle class najiamini.because ninaingiza usd 15000 per day kitu ambacho ata wazawa wengi.hawaezi
Kama kweli uko marekani, unaniona?
Sorry I am not doing this to offend or make mockery on you but list above shows that you own only a car.
hiyo pesa utakuwa umekosea kuandika.mim binafs nipo US na ni.middle class najiamini.because ninaingiza usd 15000 per day kitu ambacho ata wazawa wengi.hawaezi
hasheem thabeet naye ni low class
Woow I like that spirit am not jealousy on your success but please mean the president of the county and not country unless you too is the president.What one own is not a topic here,
Lower, upper au centre , jibu ni middle class as per conversation.
Kama unataka kujua wana own nini anzisha topic yako.
Matter of fact.,.. If u talk about "owning" check me in two years i will beat the president of the country, coz am a homeowner alreadynow beat it.
Huenda ipo hebu aje atujuze alikua ana maanisha nini lbd ni class ya kawaida sasa kaiita kiinglishi hahahahahahahaHuyu kacreate ya kwake ambayo haipo.
Haki ya nani yaani unaingiza mahela yote haya bado wanakuita mid class hapana something is wrong somewhere. Sasa wa upper wanaingiza kiasi gani per day. For sure you are a billionaire if not a trillionnare.mim binafs nipo US na ni.middle class najiamini.because ninaingiza usd 15000 per day kitu ambacho ata wazawa wengi.hawaezi