Najua kuna Watz wengi sana wanishi Marekani lkn binafsi siamini kama kuna yoyote yule ambaye ana kipato cha kumfanya awe Middle Class ndani ya Marekani, naamini Watz ambao labda wana hiyo status ni wale wanaofanya Ubalozini ambao wanalipwa na Serikali yetu, ama wale wa UN, lkn wengine wa Uraiani siamini kama kweli wana qualify Middle class Status ya Marekani, sema wakija Bongo wanaonekana wako juu lkn kwa Marekani wengi pmj na kuwa wana kazi lkn bado wana low income status, na Hapa siongelei Watanzania kuanzia Kizazi cha kwanza yaani waliozaliwa na Wazazi watz ndani ya Marekani, hao naamini wako wengi lkn wale Wahamiaji, SIDHANI!
Ina maana watz wote huko majuu wanalala geto na kubeba boksi...
You must be kidding .watu wanapiga mzigo USA wewe.hapa kazi 24 hours ni wewe tuu na Nguvu zako .sema unaowajua wewe lower classNajua kuna Watz wengi sana wanishi Marekani lkn binafsi siamini kama kuna yoyote yule ambaye ana kipato cha kumfanya awe Middle Class ndani ya Marekani, naamini Watz ambao labda wana hiyo status ni wale wanaofanya Ubalozini ambao wanalipwa na Serikali yetu, ama wale wa UN, lkn wengine wa Uraiani siamini kama kweli wana qualify Middle class Status ya Marekani, sema wakija Bongo wanaonekana wako juu lkn kwa Marekani wengi pmj na kuwa wana kazi lkn bado wana low income status, na Hapa siongelei Watanzania kuanzia Kizazi cha kwanza yaani waliozaliwa na Wazazi watz ndani ya Marekani, hao naamini wako wengi lkn wale Wahamiaji, SIDHANI!
You must be kidding .watu wanapiga mzigo USA wewe.hapa kazi 24 hours ni wewe tuu na Nguvu zako .sema unaowajua wewe lower class
Mbeba boksi Marekani sawa na kuli mnaowatishwa lumbesa kilo 200 bila huruma tandale? If truth be told mbeba boksi marekani analipwa zaidi ya katibu mkuu serikali ya muungano. Unafiki wetu basi.
Una matatizo ya kusoma na kuelewa kilichoandikwa na ndio maana SIAMINI kama Watu ninyi mnaweza kuwa Middle class Marekani, kwa maana Nchi zilizoendelea unalipwa kulingana na IQ yako yaani uwezo wako wa kutatua Matatizo, na hii inakwenda moja kwa moja na kiwango cha Elimu yako, hivyo kama tu unashindwa kusoma na kuelewa kilichoandikwa hapa JF, unawezaje kupata kazi ambayo unatakiwa kutumia akili kuisadia Kampuni kupata faida na kusonga mbele?
Hizo kazi zako za kubeba Maboksi hata ubebe kwa masaa 24 kwa siku kamwe hauwezi kupanda daraja na kuwa Middle class kwenye nchi zilizoendelea, yaani nchi zinazotumia technolia ili kuendelea!
Hizo kazi ni za lower class!