myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,143
Nani alianzisha hili kitu?hawasaidiki kutoka kwa wafu, shetan (shaytwaan) huwatekelezea yale wanuiayo yafanikiwe ili wapotee zaidi. Uislam unapinga kabisa mambo hayo, ni ushirikina
Nani alianzisha hili kitu?hawasaidiki kutoka kwa wafu, shetan (shaytwaan) huwatekelezea yale wanuiayo yafanikiwe ili wapotee zaidi. Uislam unapinga kabisa mambo hayo, ni ushirikina
Ushirikina hasa ni nini? Kufanyaje ndio uitwe mshirikina?Maneno ya uwongo hakuna aya yeyote inayo husiana na huo upuuzi wa huo ushirikina wenu
myoyabendi leo unaturudisha madrasa sasa, ushirikina ni kumshirikisha na Mungu asiyekuwa Mungu na mambo ya kiuUngu, au kuelekeza ibada au maombi(ya kiibada)kwa asiyekuwa Mungu. Mfano kuomba watu waliokufa (mababu au masharifu) wakusaidie kuondoa ugumu wa maisha.Ushirikina hasa ni nini? Kufanyaje ndio uitwe mshirikina?
Al Badr ni kumshtakia Mungu (Allah) sio uchawi ni dua ya maombi kutafuta msaada wake
Mwenyezi Mungu anautashi na hekima yake
naye hujibu kwa haki halazimishwi
hakuna unaemtisha hapa albadr ni ushirikina na ni uchawi, unaweza kumdhur MTU yeyote kwa idhin ya Allah!mnapost post tuu kutafuta umaarufu mitandaoni hamjui hata mnachojadili angalieni sana midomo inaponza kichwa..naomba niishie hapo .
hakuna unaemtisha hapa albadr ni ushirikina na ni uchawi, unaweza kumdhur MTU yeyote kwa idhin ya Allah!mnapost post tuu kutafuta umaarufu mitandaoni hamjui hata mnachojadili angalieni sana midomo inaponza kichwa..naomba niishie hapo .
Umewamaliza, tatizo nawe wewe umeweka kwa lugha ya Malkia, ebu itafsiri ili iwangie kichwani wale wenye dhana potofu kwa kuihusisha Dini ya Kiislamu na huu uovu..Excuse me akhii,
I w'd like to put it a bit clear in a nutshell.
First and foremost.
"Al badr" which is correctly so spelled as "Ahlul Badr" Meaning the people of Badr ie Those companions of beloved Prophet volunteered a fight against the Quraish infidels of Mecca on the Badr grounds during early Islamic erra dating back 17 th Ramadan 2 H. (13rd March 624 CE).
Second,
"What's so special with the companions who fought Battle of Badr (Ahlul Badr)"
"Battle of Badr" has an outstanding history in Islam, It actually laid a foundation of Islamic state in Medina and casting a horrible fear throughout Arabian peninsula as a result of a miraculous Triumph that which Muslims gained.
The actual Muslims army gained a victory in Battle of Badr was around 400 men (who were not actually prepared for a battle)
against over 1000 fully armed men .
These were men with strong and certainty Faith,
And it was their Faith that made the angels been sent down to aid them against their enemies to a victory.
Finally,
Since these companions are considered to be splendid and sacred in stations.
There came misguided individuals claiming Islam mentioning their names in magical and sorcerous acts and chants.
There's no such thing so called "Al Badr" dua in Islam, IT IS A FORM OF MAGIC ASCRIBED TO ISLAM.
ISLAM HAS NOTHING TO DO WITH IT.
No matter who does it, Whether it be an imam or whoever.
It still remains to be magic and totally forbidden in Islam.
AL BADR IS HARAAAAAAM.
Be blessed.
Sio kweli.Al Badr ni kumshtakia Mungu (Allah) sio uchawi ni dua ya maombi kutafuta msaada wake
Mwenyezi Mungu anautashi na hekima yake
naye hujibu kwa haki halazimishwi
Hiyo ndo al badri ?, mbona wapalestina wanakufa sana sasa !?Lini Taliban walishindwa vita?
Walianza Wafaransa wakakimbia
Wakaja Waingereza wakakimbia
Urusi ikafuata wakaondoka kwa aibu
Wamekuja Wamarekani akaanza Bush Snr, wakafuata Clinton,Bush Jnr,Obama na sasa Trump hawajashinda vita
Anayesoma SHARTI asiwe na hasira /asome kwa LENGO la kumshitakia Allah na sio kwa utashi wake ,au HUSDA ZAKE ,HII itakuwa SAHIHI KUISOMA kwa lengo la kuinusuru DINI ,sio UNA jazba zako tu basi ukisoma utamkoa mtu ,dua hii ni sawa na dua nyingine AMBAZO ni Allah pekee NDIYE ANAYEWEZA kuijibu kwa lengo mahsusiMtaani kuna mzee kila akikosana na mtu anasema " ntakusomea Al-badir". Jamaa anaokorofishana nao humjibu "kasome". Naye hujibu 'sawa'.
Mbona siku hizi Al- badir kama haina nguvu? Haiogopwi na watu na wala huwezi sikia eti huyu ni kilema kwasababu ya kusomewa Albadir.
Wataalam tujuzeni. Albadir ina nguvu kweli?Inaweza mshusha mtu busha au mikwara tu?
Mkuu kwani hawa wanaolalamikia nguvu za kiume wamesomewa hiyo kituSawa mkuu na ubongo wako usioishia ila ukicheza na hawa watu utaipoteza jinsia yako uwe sexless kisha ukuje kutupa mrejesho nà. Kapicha ka ushahidi
We acha upuuzi kama ujui kitu piga kimya ....albadil ni ushirikina kama ushirikina mwingine..na afanyeye katoka kwenye imani ya kiislam .....Al Badr ni kumshtakia Mungu (Allah) sio uchawi ni dua ya maombi kutafuta msaada wake
Mwenyezi Mungu anautashi na hekima yake
naye hujibu kwa haki halazimishwi
Nakweli labda Al-badir ni hiyo nembo hapo juu ukisema hivyo nitakuelewaHiyo ndo al badri ?, mbona wapalestina wanakufa sana sasa !?
ndg yangu naendelea kukuombea kwa Allah aendelee kukuhifadh na kukuongezea maarifa kupitia misingi hyo.Nikweli mkuu maana Uisilamu hauna kificho umejengwa katika misingi miwili ya kuufahamu kielimu ambayo ni
1.Quran
2.Sunna(maneno ya Mtume
Na unatakiwa uufahamu kwa mujibu wa Salaf Swaleh (wema waliotangulia) hakuna kutoka katika misingi hii
Panahitaji ufafanuzi..sidhani kuna watu wanaomba waliokufa!! Ila kutegemea asiekua Mungu ndio kosa..Mungu hafananishwi na chochote..ila ushirikina unachanganywa na mengine kama kufuru na dhambi nyingine......myoyabendi leo unaturudisha madrasa sasa, ushirikina ni kumshirikisha na Mungu asiyekuwa Mungu na mambo ya kiuUngu, au kuelekeza ibada au maombi(ya kiibada)kwa asiyekuwa Mungu. Mfano kuomba watu waliokufa (mababu au masharifu) wakusaidie kuondoa ugumu wa maisha.
sorry sipo deep sana kuweza kufundisha
Swadakta akhii,Panahitaji ufafanuzi..sidhani kuna watu wanaomba waliokufa!! Ila kutegemea asiekua Mungu ndio kosa..Mungu hafananishwi na chochote..ila ushirikina unachanganywa na mengine kama kufuru na dhambi nyingine......