Sasa watu waliopigana vita vya badir na wizi wa huku bongo vinahusianaje kama si ujingasasa inakuwaje wanasaidika na watu wenyewe wamekufa?????
Sasa watu waliopigana vita vya badir na wizi wa huku bongo vinahusianaje kama si ujingasasa inakuwaje wanasaidika na watu wenyewe wamekufa?????
!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Sasa watu waliopigana vita vya badir na wizi wa huku bongo vinahusianaje kama si ujinga
Mbona serikali ya bongoland inaiogopa?Mikwara tu hiyo hamna lolote.
Hujaona? Really? Kama hjaona nakupa ushahidi, Mtazame vizuri Bashite na Baba yake Sizonje, Waangalie vizuri kama wako sawa. Look them into their eyes .ndani kabisa ya macho yao uone kama kila kitu kiko sawaMtaani kuna mzee kila akikosana na mtu anasema " ntakusomea Al-badir". Jamaa anaokorofishana nao humjibu "kasome". Naye hujibu 'sawa'.
Mbona siku hizi Al- badir kama haina nguvu? Haiogopwi na watu na wala huwezi sikia eti huyu ni kilema kwasababu ya kusomewa Albadir.
Wataalam tujuzeni. Albadir ina nguvu kweli?Inaweza mshusha mtu busha au mikwara tu?
Msemaji wa serikali au kiongozi yoyote alisema wanaiogopa?!Mbona serikali ya bongoland inaiogopa?
Ilipigwa marufuku, kipindi kileee[emoji117] [emoji117]Msemaji wa serikali au kiongozi yoyote alisema wanaiogopa?!
Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
Achana na marufuku. Jibu walipokiri wanaogopa.Ilipigwa marufuku, kipindi kileee[emoji117] [emoji117]
Wewe ndio rais wa wajinga.Naendelea kusisitiza albadili ni uchawi wa majini(shirki),na sio kila mwenyi dini hio atasoma albdadili,albdali inaposomwa hutumwa jini vita(badri) na hili ndilo liletalo madhara kwa msomewa,albdadi husomwa na waganga wakienyeji wanaojifanya ni viongozi wa dini,kifupi nyuma ya pazia ya wenzetu kuna siri kubwa ambayo hata wenye imani hio waozifahamu siri hizo ni wachache.
Nikweli mkuu maana Uisilamu hauna kificho umejengwa katika misingi miwili ya kuufahamu kielimu ambayo niWewe ndio rais wa wajinga.
Serikali ipi unayo zungumzia ile mamlaka yake yanaishia mji mkuu Kabul pekeeWalikuwa wanaongoza serikali ya Afghanistan,uliza kama bado wako Ikulu
Uchawi wa kiislamu ndiyo unafananaje? hebu fafanua.Al badri ni aina ya uchawi wa kiislam,maana uislam ,uchawi na uganga ni vitu vinavyofungamana
Katika Uislamu hakuna kitu kama hicho hizo ni tabia za baadhi ya watu wapendao short cutMtaani kuna mzee kila akikosana na mtu anasema " ntakusomea Al-badir". Jamaa anaokorofishana nao humjibu "kasome". Naye hujibu 'sawa'.
Mbona siku hizi Al- badir kama haina nguvu? Haiogopwi na watu na wala huwezi sikia eti huyu ni kilema kwasababu ya kusomewa Albadir.
Wataalam tujuzeni. Albadir ina nguvu kweli?Inaweza mshusha mtu busha au mikwara tu?
hawasaidiki kutoka kwa wafu, shetan (shaytwaan) huwatekelezea yale wanuiayo yafanikiwe ili wapotee zaidi. Uislam unapinga kabisa mambo hayo, ni ushirikinasasa inakuwaje wanasaidika na watu wenyewe wamekufa?????
Kidume unataka kupendwa!Albadiri, karma, na ushuzi shuzi mwingine kama huo ni stori tu.
Kama ipo nisomeeni mimi. Maana msionipenda mpo wengi mno.
Nisomeeni tuone itakuwaje.
Al Badr ni kumshtakia Mungu (Allah) sio uchawi ni dua ya maombi kutafuta msaada wake
Mwenyezi Mungu anautashi na hekima yake
naye hujibu kwa haki halazimishwi
Maneno ya uwongo hakuna aya yeyote inayo husiana na huo upuuzi wa huo ushirikina wenuAl badr ni kusoma aya ili majini yakadhuru mtu. Hapo inategemeana na imani ya mhusika. Sulemain rushdie alisomewa sana al badr hakudhurika.akina bush,clinton n.k mpaka leo wanadunda tu mtaani. Haikusaidia. Ni kama sisi wahun tunaamin uchawi hauendi kwa mentali
Maneno ya uwongo hakuna aya yeyote inayo husiana na huo upuuzi wa huo ushirikina wenu