Siamini kama Al-badil inaweza kufanya mambo

Siamini kama Al-badil inaweza kufanya mambo

Albadir ipo sema wachamungu wa kuisoma hii na M/mungu akajibu hapohapo hawapo kwasasa,mashekh wa sasa wamejaa uzinzi,dhulma na wamekosa subira,hata wakimdhulumiwa halafu wajitie wanasama albadir haitajib na hata hivyo hawasomi kabisa vitabu hivi vinamsharti kuvisoma kwake.Alikuwepo Maalim mwamba pale songea street Ilala huyu akiisoma albadir hairudi.
Wewe ni muongo na mshirikina ungekuwa muislamu ningekuambia namna ya kufuta kauli yako.
 
Albadr ni uchawi na kama mnavyojua ktk uchawi hakuna mchawi zaid.. Ukijua hli mwenzako anajua lile na ni mpk huamini..
 
Mtaani kuna mzee kila akikosana na mtu anasema " ntakusomea Al-badir". Jamaa anaokorofishana nao humjibu "kasome". Naye hujibu 'sawa'.

Mbona siku hizi Al- badir kama haina nguvu? Haiogopwi na watu na wala huwezi sikia eti huyu ni kilema kwasababu ya kusomewa Albadir.

Wataalam tujuzeni. Albadir ina nguvu kweli?Inaweza mshusha mtu busha au mikwara tu?

Kwani zamani ilikuwa na nguvu? Kama ndio, basi yawezekana kinga yake imekwisha gunduliwa na watu wanapata chanjo tu.
 
Ahlal badri niduwa inayo somwa mtu akidhulumiwa na inataka ukweli na usafi kama umeiba pesa kisha nawewe ukaibiwa halafu ukasoma ahlalbadri haijibu inatakiwa uwe umedhulumiwa mali yako ya halali nasivinginevo
 
Ahlal badri niduwa inayo somwa mtu akidhulumiwa na inataka ukweli na usafi kama umeiba pesa kisha nawewe ukaibiwa halafu ukasoma ahlalbadri haijibu inatakiwa uwe umedhulumiwa mali yako ya halali nasivinginevo
Wacha kuaminiasha watu mambo yasio ya sawa tuwekee ushahidi hapa unaonyesha kuna dua ya inaitwa Al-badir na tuwekee kitabu maalum chwnye hicho kisomo nakitabu hicho kiwe kimetajwa kwenye Qurani na maneno ya Mtume ama Salaf-Swaleh yeyote
 
maelezo mazuri, sasa nini kinafanyika kama hawasomi?
Wapi na akina nani huwa wanafanya? na kama ni waganga wa kienyeji wanaojinasibisha na uislamu,Muislamu wa kweli hana haja na hapaswi kuyafuatilia.Kumbuka ushirikina hauna dini.
 
Wapi na akina nani huwa wanafanya? na kama ni waganga wa kienyeji wanaojinasibisha na uislamu,Muislamu wa kweli hana haja na hapaswi kuyafuatilia.Kumbuka ushirikina hauna dini.
huna jibu!!!
 
Wewe ni mshirikina.
Unakurupuka kuita watu washirikina kisa wanazungumzia albadiri,mada hapa inahusu albadiri sasa sijui ni kipi nilichokisema ambacho kimefanya uone namshirikisha mungu hapa na kuamua kunita mshirikina.
 
umshatikie Mungu ili mtu adhurike kama hakuna kitu kama hicho.Mungu wetu na wa upendo na anasamehe hasikilizi mihemko ya kibinadamu
Al Badr ni kumshtakia Mungu (Allah) sio uchawi ni dua ya maombi kutafuta msaada wake
Mwenyezi Mungu anautashi na hekima yake
naye hujibu kwa haki halazimishwi[
 
Lini Taliban walishindwa vita?
Walianza Wafaransa wakakimbia
Wakaja Waingereza wakakimbia
Urusi ikafuata wakaondoka kwa aibu
Wamekuja Wamarekani akaanza Bush Snr, wakafuata Clinton,Bush Jnr,Obama na sasa Trump hawajashinda vita
ulitaka iweje ili ujue wameshindwa.kwahiyo bush alipigwa duh! elimu elimu elimu
 
Jamanijamani msiongee msilolijua io kitu ipo sema hao wanaojua wana utu wa huruma na kusamehe si watu wa visasi,
Sasa mjichanganye kwenye anga zao mtageuzwa mandazi ya hiriki tuwanywee chai
ndio ubongo wako ulipoishia hapo
 
u
Sawa,sasa ndiyo toa mchango wako hapa kutujuza huo uzushi wa albadiri maana hizo story za albadiri zipo sana na tumeona watu wakiwa wenye mabalaa mbalimbali na kuwaambiwa ile ni albadiri ndiyo imefanya vile.
lihakikisha vp kama kweli ni albadiri
 
ndio ubongo wako ulipoishia hapo
Sawa mkuu na ubongo wako usioishia ila ukicheza na hawa watu utaipoteza jinsia yako uwe sexless kisha ukuje kutupa mrejesho nà. Kapicha ka ushahidi
 
ndio ubongo wako ulipoishia hapo
Tunachokataa ni huu uchawi kuunasibisha na uisilamu
Wachawi wapo na wanaweza kukudhuru kweli lkn huu uchawi si Uisilamu sisi tunazo dua maalum kutokana na haja na unaomba mwenyewe mf mwenye kudhulumiwa anaomba kwa mungu lengo lake nikupatiwa haki yake ama ama hiki kinacho jadiliwa hapa ni uchawi
 
Sawa mkuu na ubongo wako usioishia ila ukicheza na hawa watu utaipoteza jinsia yako uwe sexless kisha ukuje kutupa mrejesho nà. Kapicha ka ushahidi
wale aliowaweka ndani masheikh wa zanzibar miaka kibao naona muda huu wangekua historia kama kweli hiyo albadiri ingekuwepo.
 
Back
Top Bottom