Siamini kama Al-badil inaweza kufanya mambo

Siamini kama Al-badil inaweza kufanya mambo

Excuse me akhii,
I w'd like to put it a bit clear in a nutshell.

First and foremost.
"Al badr" which is correctly so spelled as "Ahlul Badr" Meaning the people of Badr ie Those companions of beloved Prophet volunteered a fight against the Quraish infidels of Mecca on the Badr grounds during early Islamic erra dating back 17 th Ramadan 2 H. (13rd March 624 CE).

Second,
"What's so special with the companions who fought Battle of Badr (Ahlul Badr)"

"Battle of Badr" has an outstanding history in Islam, It actually laid a foundation of Islamic state in Medina and casting a horrible fear throughout Arabian peninsula as a result of a miraculous Triumph that which Muslims gained.

The actual Muslims army gained a victory in Battle of Badr was around 400 men (who were not actually prepared for a battle)
against over 1000 fully armed men .

These were men with strong and certainty Faith,
And it was their Faith that made the angels been sent down to aid them against their enemies to a victory.

Finally,
Since these companions are considered to be splendid and sacred in stations.
There came misguided individuals claiming Islam mentioning their names in magical and sorcerous acts and chants.

There's no such thing so called "Al Badr" dua in Islam, IT IS A FORM OF MAGIC ASCRIBED TO ISLAM.
ISLAM HAS NOTHING TO DO WITH IT.
No matter who does it, Whether it be an imam or whoever.
It still remains to be magic and totally forbidden in Islam.
AL BADR IS HARAAAAAAM.

Be blessed.
Tatizo Kingeleza.
 
Ni historia za kuchora na kuandikwa tu hizo za visomo.

Ni kwa nini mataifa warabu hawajaitumia dhidi ya wazungu hasa USA, EU- NATO!?

R.I.P Binti AAB.
Umekatishwa maisha yako kama mche wa kondeni.

Hatua stahiki zichukuliwe dhidi ya management ya NEC na DED wa Kinondoni kwa damu ya Binti AAB.

Serikali ili ijisafishe ni lazima , management yote ya NEC na DED wa Kinondoni watumbuliwe tena wafikishwe mahakamani na kuhukumiwa maana ndiyo chanzo cha mauti na fujo zote.
Nani aliyekuruhusu kutumia Avatar ya huyo binti aliye uawa kwa risasi?.
 
mbona inasomwa na masheikh na wala si mapadre au wachungaji,
ni ngumu sana kutenganisha albadiri na dini ya kiislam
Kitu ambacho hukifahamu ni kuhusu Sheikh si kila muisilamu ni Sheikh wapo watu watunaujua uisilamu lkn sio ma Sheikh hao ni waganga nikwavile ni waisilamu nisawa na hawa wa ganga wanaotoa mapepo si ma padir
 
Nani aliyekuruhusu kutumia Avatar ya huyo binti aliye uawa kwa risasi?.

CHAULA RICH ,
Mkuu,.
Nafsi yangu, moyo wangu, akili yangu na uzalendo wangu zaidi, huzuni, simanzi na kusikitishwa kwa ndoto na maisha ya Binti yetu Akwilina. A. B, yaliyokatishwa kama mche wa kondeni ung'olewavyo bila huruma.

Pia, naitumia kama njia ya kuonesha uovu wa CCM, management ya NEC na DED wa Kinondoni.

Mwisho, ni.mtanzania mwenzetu asiyekuwa na hatia amekatishwa maisha kwa tamaa za wauji wa CCM.

Labda una swali jingine!?

R.I.P, Binti yetu Akwilina A. B.
Ndoto zako na maisha yako vimekatishwa ghafula kama mshumaa uzimwavyo.

Daima tutakukumbuka, ,, Kristo Yesu akuangazie mwangaza wake wa milele. Amina.
 
Lini Taliban walishindwa vita?
Walianza Wafaransa wakakimbia
Wakaja Waingereza wakakimbia
Urusi ikafuata wakaondoka kwa aibu
Wamekuja Wamarekani akaanza Bush Snr, wakafuata Clinton,Bush Jnr,Obama na sasa Trump hawajashinda vita
Kumbe inafanya kazi kwa wataliban tu, sasa hawa wengine huku Bongo viherehere vya nini?!
 
Al Badr ni kumshtakia Mungu (Allah) sio uchawi ni dua ya maombi kutafuta msaada wake
Mwenyezi Mungu anautashi na hekima yake
naye hujibu kwa haki halazimishwi
Nawahurumia sana enyi mliojikuta mmezaliwa mkiwa kwenye hii imani,albidiri ni uchawi wa majini,tatizo kubwa mlio huko kutokana na kitabu kuandikwa kwa lugha ngumu kimekua siri ya wachache wenye elimu zaidi,Albadiri kwa lugha ya kiarabu ni (BADRI) yaani jini vita.
Wapo wa imani hii wanafahamu hili na wao huwa wanaita Shirki yaani ushirikina.
Mfano mzuri ni wale wenye imani za kufuga ndevu na kukata suruali huwa hawasomi hii kitu ni shirki/ushirikina.
Kimsingi imani hii imejikita zaidi kwenye matumizi ya majini kupata nguvu zakufanya miujiza na wengi huamini ni Mungu na mwisho wa siku hupotea.
 
Hicho kitu kipo kwa washirikina
Sawa mkuu ila mie sijaihusisha albadiri na dini yeyote,na ingekuwa vizuri sasa ueleze shirki ni nini maana kuishia kusema tu albadiri ni ushirikina kuna wengine hawajui hata shirki hasa ni nini na ndiyo maana inakuwa ngumu kukuelewa.
 
Nawahurumia sana enyi mliojikuta mmezaliwa mkiwa kwenye hii imani,albidiri ni uchawi wa majini,tatizo kubwa mlio huko kutokana na kitabu kuandikwa kwa lugha ngumu kimekua siri ya wachache wenye elimu zaidi,Albadiri kwa lugha ya kiarabu ni (BADRI) yaani jini vita.
Wapo wa imani hii wanafahamu hili na wao huwa wanaita Shirki yaani ushirikina.
Mfano mzuri ni wale wenye imani za kufuga ndevu na kukata suruali huwa hawasomi hii kitu ni shirki/ushirikina.
Kimsingi imani hii imejikita zaidi kwenye matumizi ya majini kupata nguvu zakufanya miujiza na wengi huamini ni Mungu na mwisho wa siku hupotea.
Unafik hauna mwenyewe thibitisha maneno yako maana hata neno lenyewe umeshindwa kuandika
 
mbona inasomwa na masheikh na wala si mapadre au wachungaji,
ni ngumu sana kutenganisha albadiri na dini ya kiislam
Nadhani hata tende huliwa sana na waislamu,je utasema tende ni chakula cha kiislamu? karibu kila mahali kuna aina ya ushirikina wao,aina ya ushirikina waufanyao wahindi utakuta ni tofauti na wachina,waawrabu au watanzania.

Tunaona manabii wakienda Nigeria kujifunza uchawi wa kinigeria na kuja kufanya miujiza na hatuoni masheikh wakifanya hivyo.
 
huu uzushi unaoitwa albadiri unasomwa na waislam tu ,kwahiyo ni ngumu kutenganisha dini ya kiislam na abdadiri
Ukizungumzia waislamu unazungumzia binaadamu kama wewe na wote sie binaadamu tuna mapungufu,hivyo mapungufu ya hao waislamu usifanye kuwa ndiyo uilsamu ikiwa uislamu wenyewe umekataza shirki.

Maana kuna waislamu wanazini,wanakunywa pombe na mambo mengine,na hivyo vyote wamekatazwa kama walivyokatazwa ushirikina.

Aina ya ya ushirikina waufanyao manabii katika kufanya miujiza masheikh hawaujui.
 
Wewe ni muongo na mshirikina ungekuwa muislamu ningekuambia namna ya kufuta kauli yako.
Ahsante mkuu,ila vitu kama hivi watu hawashutumiani ila wanaelekezana maana hakuna anaejua vyote ila M/MUNGU pekee ndo maana kuna ile kauli ya kusema ''ALLAH AHLAM" vizuri ungetumia hekma kufafanua nami nikapata faida kwani hivyo ndivyo nijuavyo.
 
Mtaani kuna mzee kila akikosana na mtu anasema " ntakusomea Al-badir". Jamaa anaokorofishana nao humjibu "kasome". Naye hujibu 'sawa'.

Mbona siku hizi Al- badir kama haina nguvu? Haiogopwi na watu na wala huwezi sikia eti huyu ni kilema kwasababu ya kusomewa Albadir.

Wataalam tujuzeni. Albadir ina nguvu kweli?Inaweza mshusha mtu busha au mikwara tu?
Huo ulikuwa Ni uchawi wa waislamu
Baadhi yao walikuwa wakiwaloga watu wakidanganya kuwa wamewasomea al-badil
 
Al Badr ni kumshtakia Mungu (Allah) sio uchawi ni dua ya maombi kutafuta msaada wake
Mwenyezi Mungu anautashi na hekima yake
naye hujibu kwa haki halazimishwi
si kweli, al badili (sahihi ni ahlul badr) si maombi ya sawasawa katika uislam, ilikuwa washirikina wanafanya uchawi na kuuvisha jina la uislam kuwa wamesoma dua, kwasasa elimu sahihi ya uislam imeenea mno hivyo waliokuwa wanafanya hayo wengi wameumbuliwa
 
Al Badr ni kumshtakia Mungu (Allah) sio uchawi ni dua ya maombi kutafuta msaada wake
Mwenyezi Mungu anautashi na hekima yake
naye hujibu kwa haki halazimishwi
Al badr, ni ushirikina tu
 
Mbona kila anaeulizwa inafanyikaje hajibu!!! anabakia ooh.. uchawi ooh.. ushirikina
Ngoja nikueleze ile inaitwa Ahlul Badri ni kisomo kinachosomwa kwa kutaja majina ya maswahaba waliyopigana vita vya Badri kipindi cha Mtume. Yaani maana yake unawaomba wao ambao ni marehemu na kuwashtakia juu ya jambo fulani na si kumuomba Mungu.

Hiki kisomo kipo na kina sababu zake kukisoma na ni hatari mno, haina tofauti na Uchawi au ushirikina maana hii unawategemea waliyokufa wakusaidie na si Mungu
 
sasa inakuwaje wanasaidika na watu wenyewe wamekufa?????
 
Mtaani kuna mzee kila akikosana na mtu anasema " ntakusomea Al-badir". Jamaa anaokorofishana nao humjibu "kasome". Naye hujibu 'sawa'.

Mbona siku hizi Al- badir kama haina nguvu? Haiogopwi na watu na wala huwezi sikia eti huyu ni kilema kwasababu ya kusomewa Albadir.

Wataalam tujuzeni. Albadir ina nguvu kweli?Inaweza mshusha mtu busha au mikwara tu?
Dogo umeamua kudhalilisha uislam kwa mabandiko yako,

Sasa umefika wakati wa vitendo
Wewe mwenyewe utarudi hapa ukumbini kuomba radhi
 
Mtaani kuna mzee kila akikosana na mtu anasema " ntakusomea Al-badir". Jamaa anaokorofishana nao humjibu "kasome". Naye hujibu 'sawa'.

Mbona siku hizi Al- badir kama haina nguvu? Haiogopwi na watu na wala huwezi sikia eti huyu ni kilema kwasababu ya kusomewa Albadir.

Wataalam tujuzeni. Albadir ina nguvu kweli?Inaweza mshusha mtu busha au mikwara tu?
Al-badiri haipo kisheria wala haikubaliki ktk Uislam kwasababu ndani ya kisomo hicho kinafungamana na mambo ya Shirkiyati ambayo ni kinyume na utaratibu na mafundisho ya Dini yetu tukufu ya kiislam ukisikia MTU anazungumzia sana Al-badiri basi kuwa na shaka naye huyo mtu huenda akawa ni Mshirikina na sio Muislam uislam sio Dini ya kudhuru watu wala kuroga watu
 
Back
Top Bottom