Siamini kama Al-badil inaweza kufanya mambo

Siamini kama Al-badil inaweza kufanya mambo

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,627
Mtaani kuna mzee kila akikosana na mtu anasema " ntakusomea Al-badir". Jamaa anaokorofishana nao humjibu "kasome". Naye hujibu 'sawa'.

Mbona siku hizi Al- badir kama haina nguvu? Haiogopwi na watu na wala huwezi sikia eti huyu ni kilema kwasababu ya kusomewa Albadir.

Wataalam tujuzeni. Albadir ina nguvu kweli?Inaweza mshusha mtu busha au mikwara tu?
 
Hayo huwa ni mastory tu ya kusadikika uwezo huo ungekuwepo,wakoloni wasingetutawala.Au Taliban, Alqaeda,boko haramu,alshabab wangeyatumia kushinda vita.Hizo ni imani za kiswahili
 
Al Badr ni kumshtakia Mungu (Allah) sio uchawi ni dua ya maombi kutafuta msaada wake
Mwenyezi Mungu anautashi na hekima yake
naye hujibu kwa haki halazimishwi
Excuse me akhii,
I w'd like to put it a bit clear in a nutshell.

First and foremost.
"Al badr" which is correctly so spelled as "Ahlul Badr" Meaning the people of Badr ie Those companions of beloved Prophet volunteered a fight against the Quraish infidels of Mecca on the Badr grounds during early Islamic erra dating back 17 th Ramadan 2 H. (13rd March 624 CE).

Second,
"What's so special with the companions who fought Battle of Badr (Ahlul Badr)"

"Battle of Badr" has an outstanding history in Islam, It actually laid a foundation of Islamic state in Medina and casting a horrible fear throughout Arabian peninsula as a result of a miraculous Triumph that which Muslims gained.

The actual Muslims army gained a victory in Battle of Badr was around 400 men (who were not actually prepared for a battle)
against over 1000 fully armed men .

These were men with strong and certainty Faith,
And it was their Faith that made the angels been sent down to aid them against their enemies to a victory.

Finally,
Since these companions are considered to be splendid and sacred in stations.
There came misguided individuals claiming Islam mentioning their names in magical and sorcerous acts and chants.

There's no such thing so called "Al Badr" dua in Islam, IT IS A FORM OF MAGIC ASCRIBED TO ISLAM.
ISLAM HAS NOTHING TO DO WITH IT.
No matter who does it, Whether it be an imam or whoever.
It still remains to be magic and totally forbidden in Islam.
AL BADR IS HARAAAAAAM.

Be blessed.
 
Ni historia za kuchora na kuandikwa tu hizo za visomo.

Ni kwa nini mataifa warabu hawajaitumia dhidi ya wazungu hasa USA, EU- NATO!?

R.I.P Binti AAB.
Umekatishwa maisha yako kama mche wa kondeni.

Hatua stahiki zichukuliwe dhidi ya management ya NEC na DED wa Kinondoni kwa damu ya Binti AAB.

Serikali ili ijisafishe ni lazima , management yote ya NEC na DED wa Kinondoni watumbuliwe tena wafikishwe mahakamani na kuhukumiwa maana ndiyo chanzo cha mauti na fujo zote.
 
Lini Taliban walishindwa vita?
Walianza Wafaransa wakakimbia
Wakaja Waingereza wakakimbia
Urusi ikafuata wakaondoka kwa aibu
Wamekuja Wamarekani akaanza Bush Snr, wakafuata Clinton,Bush Jnr,Obama na sasa Trump hawajashinda vita
Walikuwa wanaongoza serikali ya Afghanistan,uliza kama bado wako Ikulu
 
Jamanijamani msiongee msilolijua io kitu ipo sema hao wanaojua wana utu wa huruma na kusamehe si watu wa visasi,
Sasa mjichanganye kwenye anga zao mtageuzwa mandazi ya hiriki tuwanywee chai
 
Albadiri, karma, na ushuzi shuzi mwingine kama huo ni stori tu.

Kama ipo nisomeeni mimi. Maana msionipenda mpo wengi mno.

Nisomeeni tuone itakuwaje.
Mtu akisema hakuna kifo na kwa kuthibitisha hilo anaahidi hadi mwaka 2020 atakuwepo hai kwa sababu hakuna kifo,je akiwepo hai hadi hiyo 2020 ndiyo kipimo cha kusema ni kweli hakuna kifo?
 
Tatizo imani zenu ndogo sana sana / hamjui maana hio mnawasikia tuzee zee tukilopoka hovyo mambo ya ALBADR . ALBADR sio kilipo cha kisasi- ALBADR huwezi kumwambia mtu nakusomea.
ALBADR husomwa kimya kimya, na sio kwamba kifo kitakupata unaweza ukapata balaa mbaya mbaya tu.

tuheshimiane wasomi
 
Mtaani kuna mzee kila akikosana na mtu anasema " ntakusomea Al-badir". Jamaa anaokorofishana nao humjibu "kasome". Naye hujibu 'sawa'.

Mbona siku hizi Al- badir kama haina nguvu? Haiogopwi na watu na wala huwezi sikia eti huyu ni kilema kwasababu ya kusomewa Albadir.

Wataalam tujuzeni. Albadir ina nguvu kweli?Inaweza mshusha mtu busha au mikwara tu?
INAFANYA KAZI UKIWA UMESIMAMIA HAKI
 
Soma hiyo albadiri tuone kitachotokea
Hiyo sio hoja ya kutumia hapa kutaka kuonesha kuwa suala la albadiri ni uzushi,kwa hoja kama hizo hata mie naweza kusema hakuna kifo na ndiyo bado nipo hai toka nizaliwe hadi leo.

Sipo hapa kutetea albadiri na wala hata sijui inasomwaje ila kujifanya huna uoga na hiyo albadiri na kutaka mtu akusomee tu ili uone inakuaje sijaona kuwa ndiyo itakuwa hoja ya ya kutaka kutuonesha ya kuwa albadiri ni uzushi ni bora utafute njia nyengine ya kuonesha kuwa hilo suala la albadiri si la kweli.
 
Albadiri ni uzushi tu.
 
Back
Top Bottom