Siamini kama Al-badil inaweza kufanya mambo

Siamini kama Al-badil inaweza kufanya mambo

Albadiri ni uzushi tu.
Sawa,sasa ndiyo toa mchango wako hapa kutujuza huo uzushi wa albadiri maana hizo story za albadiri zipo sana na tumeona watu wakiwa wenye mabalaa mbalimbali na kuwaambiwa ile ni albadiri ndiyo imefanya vile.
 
Hiyo sio hoja ya kutumia hapa kutaka kuonesha kuwa suala la albadiri ni uzushi,kwa hoja kama hizo hata mie naweza kusema hakuna kifo na ndiyo bado nipo hai toka nizaliwe hadi leo.

Sipo hapa kutetea albadiri na wala hata sijui inasomwaje ila kujifanya huna uoga na hiyo albadiri na kutaka mtu akusomee tu ili uone inakuaje sijaona kuwa ndiyo itakuwa hoja ya ya kutaka kutuonesha ya kuwa albadiri ni uzushi ni bora utafute njia nyengine ya kuonesha kuwa hilo suala la albadiri si la kweli.
Huo mfano wala hauendani arika mashehe wote duniani wasome albadir kwa dhambi nilzotenda tangu nizaliwe albadir initengue kiuno muda huu na ww unayebisha hakuna kifo tukutandike risasi ya ubongo tuone kama utakuwa hai hadi 2020
 
Kwa ufaham wangu al badir nikisomo cha kumuomba allah ndani yale ujumuisha kutaja majina ya watu mashuhuri waliomwaga damu katika vita badri
Kwahy unaposoma na kutaja hayo majina hyo dua hujibiwa lakini pia hyo dua husomwa kwa sababu maalum
Mfno ukiibiwa unaweza isoma ila inabidi ufate mashrt km kutangaza ndani ya siku saba napia uhakikshe kila mtu amesikia hilo tangzo na ukiona ujarudiahiwa kitu chako ruhusa kusoma
Kama ukikosa al badr inaweza ikawageukia wasomaji
Ndo maana wengi huogopa kuisoma sababu ni ngumu hutakiw kuacha ht herufi moja
 
Huo mfano wala hauendani arika mashehe wote duniani wasome albadir kwa dhambi nilzotenda tangu nizaliwe albadir initengue kiuno muda huu na ww unayebisha hakuna kifo tukutandike risasi ya ubongo tuone kama utakuwa hai hadi 2020
Unaona sasa!! tangu lini uliwahi kusikia albadiri inasomwa kwa mtu kwa sababu ya dhambi zake?

Ni bora tungejielimisha kwanza kuhusu hiyo albadiri kabla ya kuja kusema haipo ama inakuaje.
 
Unaona sasa!! tangu lini uliwahi kusikia albadiri inasomwa kwa mtu kwa sababu ya dhambi zake?

Ni bora tungejielimisha kwanza kuhusu hiyo albadiri kabla ya kuja kusema haipo ama inakuaje.
Inasomwa kwa sababu zipi?
 
Mtaani kuna mzee kila akikosana na mtu anasema " ntakusomea Al-badir". Jamaa anaokorofishana nao humjibu "kasome". Naye hujibu 'sawa'.

Mbona siku hizi Al- badir kama haina nguvu? Haiogopwi na watu na wala huwezi sikia eti huyu ni kilema kwasababu ya kusomewa Albadir.

Wataalam tujuzeni. Albadir ina nguvu kweli?Inaweza mshusha mtu busha au mikwara tu?
Mkuu katika uisilamu hakuna dua yeyote inayojulikana kwa jina la Al-badir huu ni utaratibu wa kishirikina wa baadhi ya watu na hili neno Al-badir ni moja ya vitongoji vya mji wa Macca hakuna dua za kudhuru wanadam katika uisilamu watu wanachanganya uchawi wao na dini na hili ni kharamu na ni ushirikina Allah awaongoze njia iliyo nyooka wale washirikina wote
 
Albadir ipo sema wachamungu wa kuisoma hii na M/mungu akajibu hapohapo hawapo kwasasa,mashekh wa sasa wamejaa uzinzi,dhulma na wamekosa subira,hata wakimdhulumiwa halafu wajitie wanasama albadir haitajib na hata hivyo hawasomi kabisa vitabu hivi vinamsharti kuvisoma kwake.Alikuwepo Maalim mwamba pale songea street Ilala huyu akiisoma albadir hairudi.
 
Al Badr ni kumshtakia Mungu (Allah) sio uchawi ni dua ya maombi kutafuta msaada wake
Mwenyezi Mungu anautashi na hekima yake
naye hujibu kwa haki halazimishwi
naye hujibu kwa haki halazimishwi
 
Mkuu katika uisilamu hakuna dua yeyote inayojulikana kwa jina la Al-badir huu ni utaratibu wa kishirikina wa baadhi ya watu na hili neno Al-badir ni moja ya vitongoji vya mji wa Macca hakuna dua za kudhuru wanadam katika uisilamu watu wanachanganya uchawi wao na dini na hili ni kharamu na ni ushirikina Allah awaongoze njia iliyo nyooka wale washirikina wote
fafanua kinachofanyika au huo 'ushirikina unavyofanywa'
 
fafanua kinachofanyika au huo 'ushirikina unavyofanywa'
Kinachofanyi ni uchawi na wala sidua hakuna dua inaitwa Al-badir na uchawi unafanywa na washirikina si waisilamu na washirikina wanaweza kuwa ni waisilamu au wakristo ama wenye dini yeyote katika uisilamu yeye yote anaweza kumshitakia Mungu kwa dhulma anayo fanyiwa na Mungu akajibu maombi na hata asiye Isilamu anaweza kumshitakia Mungu ila hakuna dua inaitwa Al -BAdir
 
Moja ya sababu nazozijua ni kuibiwa ama kudhulumiwa.
Kuiba na kudhulumu kwa mujibu ya imani yangu ni dhambi make ni kuvunja amri za Mungu na kuiba ni amri ya 7 kumbe comment yangu ya kwanza nipo sahihi kabisa
 
Albadir ipo sema wachamungu wa kuisoma hii na M/mungu akajibu hapohapo hawapo kwasasa,mashekh wa sasa wamejaa uzinzi,dhulma na wamekosa subira,hata wakimdhulumiwa halafu wajitie wanasama albadir haitajib na hata hivyo hawasomi kabisa vitabu hivi vinamsharti kuvisoma kwake.Alikuwepo Maalim mwamba pale songea street Ilala huyu akiisoma albadir hairudi.
Weka ushahidi wa dua inayoitwa hivyo katika kitabu cha Qur-an au Maneno ya Mtume Mimi ninacho kifahamu ni maneno ya mtume hapo Katika Sahihi Muslim na Buhari yaliyopokelewa na maswahaba wengi ambayo ni dua ya mwenye kudhulumiwa na hakuna dua inaitwa Al-badir kama unavyo sema
 
Kinachofanyi ni uchawi na wala sidua hakuna dua inaitwa Al-badir na uchawi unafanywa na washirikina si waisilamu na washirikina wanaweza kuwa ni waisilamu au wakristo ama wenye dini yeyote katika uisilamu yeye yote anaweza kumshitakia Mungu kwa dhulma anayo fanyiwa na Mungu akajibu maombi na hata asiye Isilamu anaweza kumshitakia Mungu ila hakuna dua inaitwa Al -BAdir
maelezo mazuri, sasa nini kinafanyika kama hawasomi?
 
Lini Taliban walishindwa vita?
Walianza Wafaransa wakakimbia
Wakaja Waingereza wakakimbia
Urusi ikafuata wakaondoka kwa aibu
Wamekuja Wamarekani akaanza Bush Snr, wakafuata Clinton,Bush Jnr,Obama na sasa Trump hawajashinda vita
Ni njia tu za kujifariji. Saddam, Bin Laden, Gadaffi wote hao ni mission za US zilizokubali. Waliobaki ni maboya tu
 
Excuse me akhii,
I w'd like to put it a bit clear in a nutshell.

First and foremost.
"Al badr" which is correctly so spelled as "Ahlul Badr" Meaning the people of Badr ie Those companions of beloved Prophet volunteered a fight against the Quraish infidels of Mecca on the Badr grounds during early Islamic erra dating back 17 th Ramadan 2 H. (13rd March 624 CE).

Second,
"What's so special with the companions who fought Battle of Badr (Ahlul Badr)"

"Battle of Badr" has an outstanding history in Islam, It actually laid a foundation of Islamic state in Medina and casting a horrible fear throughout Arabian peninsula as a result of a miraculous Triumph that which Muslims gained.

The actual Muslims army gained a victory in Battle of Badr was around 400 men (who were not actually prepared for a battle)
against over 1000 fully armed men .

These were men with strong and certainty Faith,
And it was their Faith that made the angels been sent down to aid them against their enemies to a victory.

Finally,
Since these companions are considered to be splendid and sacred in stations.
There came misguided individuals claiming Islam mentioning their names in magical and sorcerous acts and chants.

There's no such thing so called "Al Badr" dua in Islam, IT IS A FORM OF MAGIC ASCRIBED TO ISLAM.
ISLAM HAS NOTHING TO DO WITH IT.
No matter who does it, Whether it be an imam or whoever.
It still remains to be magic and totally forbidden in Islam.
AL BADR IS HARAAAAAAM.

Be blessed.
You have said it bro. Albadiri ni uchawi uliowazi na wala haina uhusiano na uislamu bali wasomaji huunasibisha uchawi huu na uislamu ili kujipatia wateja waumini.
 
maelezo mazuri, sasa nini kinafanyika kama hawasomi?
Huu ni uchawi na ushirikina unafanyika hasa maeneo ya pwani kama unavyo fahamu maeneo hayo wanaishi waisilamu wengi ndio maana ushirikina huu unanasibishwa na uisilamu na kuna mataperi wengi wanaotumia elimu iliyokatazwa ya Uchawi kujinufaisha na wanainasibisha na uisilamu
maelezo mazuri, sasa nini kinafanyika kama hawasomi?
 
Back
Top Bottom