Siamini kama Al-badil inaweza kufanya mambo

Siamini kama Al-badil inaweza kufanya mambo

Weka ushahidi wa dua inayoitwa hivyo katika kitabu cha Qur-an au Maneno ya Mtume Mimi ninacho kifahamu ni maneno ya mtume hapo Katika Sahihi Muslim na Buhari yaliyopokelewa na maswahaba wengi ambayo ni dua ya mwenye kudhulumiwa na hakuna dua inaitwa Al-badir kama unavyo sema
Mkuu sijaswadikisha kuna kitabu au dua inaitwa albdil na mimi nimeitamka kama ilivyo albdir kwa jinsi nilivyoiskia tangu utoto kwa mfano kunachizi mtaan kwetu niliambia alisomewa albdir na mashekh wa wazamani,kiufupi tu hawa watu wenye elimu wanauwezo wa kupindua pindua mambo,sasa kama walipinduapindua quran wakapata albdir mimi sijawah kuhoji hilo.
 
Tuletee ushahidi hapa kwenye Qur-an unaozungumzia dua hiyo au maneno ya Mtume
 
Ifahamike kuwa enzi za Mtume waisilamu walisimama kuomba dua katika viwanja vya kitongoji cha Al-badir kumshitakia Mungu na wakati mwingine walisimama kuomba mvua na majanga mengine lkn dua hizi haziitwi Al-badir majina yake ni kila dua na maudhui yake mfano dua ya mwenye kudhulumiwa au maombi ya mvua na dua hii ni maarufu inaitwa Kunut na si Al-badir
 
Al Badr ni kumshtakia Mungu (Allah) sio uchawi ni dua ya maombi kutafuta msaada wake
Mwenyezi Mungu anautashi na hekima yake
naye hujibu kwa haki halazimishwi
albadr ni maombi yaliyochanganywa na shiriki mkuu coz yanaombwa kupitia majina ya mujahidina Dua maalumu kwa Allah! ni KUKUNUTI tena kwa matatzo maalumu yanayowasibu jamii husika sio kila kitu au chuki binafc, hivyo albadr uchaw km uchaw mwingine na mwenye kujinasibisha nao yupo matatan kwa mola wake
 
Albadiri ni uzushi tu.
Yaani comrade,
Mtu akikuambia atakusomea Hiyo "AL BADIR" Correctly spelled " Ahlul Badr" ni sawa sawa na mtu anayekutishia kwenda kuroga.

Hao wanaodai wasomea watu "AL badir" ni aidha Wachawi na washirikina ama matapeli wapigaji kama akina Manyau nyau and his likes.

Hakuna kisomo ktk Uislam chaitwa "AL Badr" sijui ambiwa wamshtakia Mungu kwa kudhulumiwa nk.
It's totally a Fabrication ascribed to Islam.
Wasikutishe waambie wanisomee namie huku[emoji23] [emoji23] [emoji23].
 
Excuse me akhii,
I w'd like to put it a bit clear in a nutshell.

First and foremost.
"Al badr" which is correctly so spelled as "Ahlul Badr" Meaning the people of Badr ie Those companions of beloved Prophet volunteered a fight against the Quraish infidels of Mecca on the Badr grounds during early Islamic erra dating back 17 th Ramadan 2 H. (13rd March 624 CE).

Second,
"What's so special with the companions who fought Battle of Badr (Ahlul Badr)"

"Battle of Badr" has an outstanding history in Islam, It actually laid a foundation of Islamic state in Medina and casting a horrible fear throughout Arabian peninsula as a result of a miraculous Triumph that which Muslims gained.

The actual Muslims army gained a victory in Battle of Badr was around 400 men (who were not actually prepared for a battle)
against over 1000 fully armed men .

These were men with strong and certainty Faith,
And it was their Faith that made the angels been sent down to aid them against their enemies to a victory.

Finally,
Since these companions are considered to be splendid and sacred in stations.
There came misguided individuals claiming Islam mentioning their names in magical and sorcerous acts and chants.

There's no such thing so called "Al Badr" dua in Islam, IT IS A FORM OF MAGIC ASCRIBED TO ISLAM.
ISLAM HAS NOTHING TO DO WITH IT.
No matter who does it, Whether it be an imam or whoever.
It still remains to be magic and totally forbidden in Islam.
AL BADR IS HARAAAAAAM.

Be blessed.
Allah akuhifadh kwa ufafanuz mzur ulioutoa.
 
Kwa ufaham wangu al badir nikisomo cha kumuomba allah ndani yale ujumuisha kutaja majina ya watu mashuhuri waliomwaga damu katika vita badri
Kwahy unaposoma na kutaja hayo majina hyo dua hujibiwa lakini pia hyo dua husomwa kwa sababu maalum
Mfno ukiibiwa unaweza isoma ila inabidi ufate mashrt km kutangaza ndani ya siku saba napia uhakikshe kila mtu amesikia hilo tangzo na ukiona ujarudiahiwa kitu chako ruhusa kusoma
Kama ukikosa al badr inaweza ikawageukia wasomaji
Ndo maana wengi huogopa kuisoma sababu ni ngumu hutakiw kuacha ht herufi moja
Akhii refer my previous post.
AL Badir ni Uchawi ascribed to Islam.

Kama alivyokua "SHEHE" Yahya Hussein na Uchawi wake wa kufuga na Kutumia majini, Mara kutabiri nyota na Future outcomes za vitu mbali mbali Kichawi chawi.

Yaani kilichopo hivi sasa wale Wachawi mafundi wa AL Badir wengi wao wameshafariki,
Hiyo Wazee wa Fursa wanapiga madili mjini kwa kutia vitisho na mikwara kujitia wanasomea watu Al badir.
 
Uko sawa mkuu niongeze tu kufafanua kidogo hilo neno ulilosema ndilo sahihi yaani Ahlul badir ni neno la kiarabu maana ya Ahlul kwa lugha yetu watu wa ...na ukiunganisha na badr ni watu wa nadir na ukisema Al -badir maana yake eneo la Badir hivyo Ahalul badir ni watu au wakazi wa Badir
 
Tatizo imani zenu ndogo sana sana / hamjui maana hio mnawasikia tuzee zee tukilopoka hovyo mambo ya ALBADR . ALBADR sio kilipo cha kisasi- ALBADR huwezi kumwambia mtu nakusomea.
ALBADR husomwa kimya kimya, na sio kwamba kifo kitakupata unaweza ukapata balaa mbaya mbaya tu.

tuheshimiane wasomi
Wewe muongo ungekua muislamu ningekuambia vipi ufute hizo kauli zako.
 
Hiyo sio hoja ya kutumia hapa kutaka kuonesha kuwa suala la albadiri ni uzushi,kwa hoja kama hizo hata mie naweza kusema hakuna kifo na ndiyo bado nipo hai toka nizaliwe hadi leo.

Sipo hapa kutetea albadiri na wala hata sijui inasomwaje ila kujifanya huna uoga na hiyo albadiri na kutaka mtu akusomee tu ili uone inakuaje sijaona kuwa ndiyo itakuwa hoja ya ya kutaka kutuonesha ya kuwa albadiri ni uzushi ni bora utafute njia nyengine ya kuonesha kuwa hilo suala la albadiri si la kweli.
Ni Uzushi kweli.
 
Uko sawa mkuu niongeze tu kufafanua kidogo hilo neno ulilosema ndilo sahihi yaani Ahlul badir ni neno la kiarabu maana ya Ahlul kwa lugha yetu watu wa ...na ukiunganisha na badr ni watu wa nadir na ukisema Al -badir maana yake eneo la Badir hivyo Ahalul badir ni watu au wakazi wa Badir
Swadakta akhii,
Kisomo hicho cha kishirikina kimeitwa "Al badir" correctly spelled " Ahlul Badr" kwa kule kuzingatiwa utukufu wa mashahiid waliopigana ktk viwanja vya Badr mchana ule wa jua kali wakiwa wamefunga tena pasina maandalizi ya kivita.
Ramadhani 17 mwaka wa 2 H.

Wanachokifanya wachawi hawa ni kutaja majina ya Wapiganaji hawa in their Chantings kama "Tawasswul" yaani seeking intermediary btn them and Allaah,
Which is totally HARAAAAAAM in Islam.
Seeking a deceased intermediary is an idolatrous act, even If you're to mention the Prophet himself.

Be blessed akhii
 
Mtaani kuna mzee kila akikosana na mtu anasema " ntakusomea Al-badir". Jamaa anaokorofishana nao humjibu "kasome". Naye hujibu 'sawa'.

Mbona siku hizi Al- badir kama haina nguvu? Haiogopwi na watu na wala huwezi sikia eti huyu ni kilema kwasababu ya kusomewa Albadir.

Wataalam tujuzeni. Albadir ina nguvu kweli?Inaweza mshusha mtu busha au mikwara tu?
Huoni walivyochanganyikiwa kurusha risasi hovyo wengine wapo india ...
 
Kwa ufaham wangu al badir nikisomo cha kumuomba allah ndani yale ujumuisha kutaja majina ya watu mashuhuri waliomwaga damu katika vita badri
Kwahy unaposoma na kutaja hayo majina hyo dua hujibiwa lakini pia hyo dua husomwa kwa sababu maalum
Mfno ukiibiwa unaweza isoma ila inabidi ufate mashrt km kutangaza ndani ya siku saba napia uhakikshe kila mtu amesikia hilo tangzo na ukiona ujarudiahiwa kitu chako ruhusa kusoma
Kama ukikosa al badr inaweza ikawageukia wasomaji
Ndo maana wengi huogopa kuisoma sababu ni ngumu hutakiw kuacha ht herufi moja
Huo ni uzushi na ushirikina.
 
Wakuu wachawi hawana dini hata ukiangalia upande wa ndugu zetu Wakristu kuna wachawi wanavaa pete za kichawi wakikuelekezea unaanguka au wanajidai kufufua wafu huu ni uchawi na si Ukristu utamkuta mtu kang'ang'ana kua yeye anafufua wafu lkn mama yake alomzaa kafa hawezi kumfufua au una malaria unatolewa pepo au unaandikiwa kombe eti aya za qurani upuuzi mtupu parasite wamaleria na aya za Qurani au kukemewa pepo wapi na wapi Fanya juhudi nenda hospital upate dawa muombe Mungu dawa iwe na nguvu ya kuua wadudu pia Mungu akichukua uhai hakuna kiumbe wa kufufua
 
Back
Top Bottom