SIAFIKI utaratibu wa watu kula msibani

SIAFIKI utaratibu wa watu kula msibani

Huo ni ugalatia
Maisha ni watu endana nao mkuu usifikiri wanaokula misibani ni njaa zinawafanya kula utawaza unavyowaza kwa nafasi uliyonayo katika jamii (labda bado ni mdogo hauna familia) na unafikiri misiba inawakuta kina fulani tu! Zamu itafika kwako ndiyo utajionea
 
Wafiwa wenyewe ndo uwa wanaamua.
Mbona Kuna sehemu tunaenda tunakuta uji na maharage tunakula vizuri tu.
Sasa uende msibani upewe chakula ukatae sio kweli.
Na ukiona DESHI hakuna anayeuliza.
Ila ile ni sadaka tu.
 
salaam,

Huenda wazo lilikua jema watu wanapofika kuwafariji wafiwa pia wale hapo ili kuweka mshikamano.

Lakini utaratibu huu binafsi naona haufai sana maana ni kama umekua mzigo kwa wafiwa hasa misiba ya familia za hali ya chini.

Kuna msiba umetokea hapa mtaani kwetu (Mungu awafariji wafiwa pia amrehemu marehemu) aise wafiwa hapa wanahangaika mara kijana anachimba mashimo ya kuweka mahema mara kapanda pikipiki amefuata kuni akirudi anaingia chumbani kwake analia uchungu wa kufiwa baba mzazh akitoka nje awahudumie wageni jamani daaah.

Nimeshuhudia misiba mingi ya familia za chini wafiwa ni kama huwa wanapata mzigo kwa watu kuja kutoa faraja.

Mara nyingi utaona wanapika chakula kikiiva wao ndio watazunguka kugawa chakula kwa wageni yote hii pia ni kutokana waTanzania tumezoea ukarimu kuwakarimu wageni jambo linalowafanya wafiwa kupewa mzigo wakati wanapitia kipindi kigumu.

Na hapo utakuta mimtu inaenda msibani inarundikana vikundi na kupiga story za siasa au simba na yanga huku wafiwa wakitarajiwa wawe wakarimu kwa kuwahudumia wageni hawa eti wamekuja "kufariji". HII SIO SAWA

Mara nyingine msiba ukiisha kuna vitu viliazimwa kama masufuria, sahani, maturubai, viti, na kutokana na ustaarabu mbovu wa "wageni wafariji" labda vimepotea au vimeharibika mzigo hua unaachwa kwa familia ya wafiwa
Waelekeze tu kwenye vi-grocery vya karibu.
 
Una asili ya kauchoyo kalikojificha moyoni.Acha uchoyo.
 
Hao wazee wanaopelekwa kwenye care houses ni wale wenye uchumi wa chini sivyo? Ni wote
Kwa taarifa tu mwenyekiti. Kule kwa wale viumbe wenye uchumi wa kuwawezesha kuishi na familia zao wakati wote ni sehemu ndogo sana ya jamii nzima
 
Hilo sio lengo, naona watu wameanza kwenda kinyume chake..
Zamani msiba ulikuwa unafanya na majirani, kuanzia kuleta kuni, vyakula, watu kufanya kazi,watachimba kaburi etc..
Na hata ule utani ndio ilikuwa hivyo, kwenye msiba watani ndio watafanya kila kitu, wataleta chakula, watachimba kaburi, watapika, watagawa etc, kisha ndio baadae watadai chochote kitu na mara nyingi hapa chochote ukiwapa ilikuwa wanaridhika siku hizi mtu analeta utani hajasaidia chochote unakàa kwenye kaburi unataka pesa, mie nakuzika humo humo
 
Aise huko kwenu wapi wafiwa hawafanyi kazi ? Niko Moro hapa na katika misiba mingi tu wafiwa mara nyingi wao ndio wahusika wakuu
Siyo kweli kwa kawaida msiba ukitokea Wana jamii ndiyo wanafanya kazi za pale labda huko mora.
Kuhusu gharama nakubaliana na wewe
 
salaam,

Huenda wazo lilikua jema watu wanapofika kuwafariji wafiwa pia wale hapo ili kuweka mshikamano.

Lakini utaratibu huu binafsi naona haufai sana maana ni kama umekua mzigo kwa wafiwa hasa misiba ya familia za hali ya chini.

Kuna msiba umetokea hapa mtaani kwetu (Mungu awafariji wafiwa pia amrehemu marehemu) aise wafiwa hapa wanahangaika mara kijana anachimba mashimo ya kuweka mahema mara kapanda pikipiki amefuata kuni akirudi anaingia chumbani kwake analia uchungu wa kufiwa baba mzazh akitoka nje awahudumie wageni jamani daaah.

Nimeshuhudia misiba mingi ya familia za chini wafiwa ni kama huwa wanapata mzigo kwa watu kuja kutoa faraja.

Mara nyingi utaona wanapika chakula kikiiva wao ndio watazunguka kugawa chakula kwa wageni yote hii pia ni kutokana waTanzania tumezoea ukarimu kuwakarimu wageni jambo linalowafanya wafiwa kupewa mzigo wakati wanapitia kipindi kigumu.

Na hapo utakuta mimtu inaenda msibani inarundikana vikundi na kupiga story za siasa au simba na yanga huku wafiwa wakitarajiwa wawe wakarimu kwa kuwahudumia wageni hawa eti wamekuja "kufariji". HII SIO SAWA

Mara nyingine msiba ukiisha kuna vitu viliazimwa kama masufuria, sahani, maturubai, viti, na kutokana na ustaarabu mbovu wa "wageni wafariji" labda vimepotea au vimeharibika mzigo hua unaachwa kwa familia ya wafiwa
adriz kuna mtu naleta ukafiri huku kwenye mambo ya msingi sana
 
Hii imekaa poa sana mkuu,
 
Binafsi siafiki kulisha watu msibani na ili kuepuka hilo inabidi msiba ukitokea ni kuzika siku hiyohiyo
 
Hata misiba ya zaman chakula kilipikwa lkn kwa kuwalisha wachache sana na hasa ndugu wa familia wanaokuja kwenye msiba wao na wale wachache (majirani) wanaolala msibani lakini SI KULISHA UMATI wa watu unaokuja siku ya mazishi,,,,, leo hii familia ikifiwa HAIFARIJIWI kwa kuletewa sukari,chumvi,maharage,unga,sabuni,kuni n.k. bali INAFILISIWA na kuachwa na MADENI makubwa.
Mtazamo wangu ni mazoea haya ya kulisha umati siku ya mazishi UKATAZWE kabisa,,, viongozi wa dini na serikali wasimamie hili.
 
salaam,

Huenda wazo lilikua jema watu wanapofika kuwafariji wafiwa pia wale hapo ili kuweka mshikamano.

Lakini utaratibu huu binafsi naona haufai sana maana ni kama umekua mzigo kwa wafiwa hasa misiba ya familia za hali ya chini.

Kuna msiba umetokea hapa mtaani kwetu (Mungu awafariji wafiwa pia amrehemu marehemu) aise wafiwa hapa wanahangaika mara kijana anachimba mashimo ya kuweka mahema mara kapanda pikipiki amefuata kuni akirudi anaingia chumbani kwake analia uchungu wa kufiwa baba mzazh akitoka nje awahudumie wageni jamani daaah.

Nimeshuhudia misiba mingi ya familia za chini wafiwa ni kama huwa wanapata mzigo kwa watu kuja kutoa faraja.

Mara nyingi utaona wanapika chakula kikiiva wao ndio watazunguka kugawa chakula kwa wageni yote hii pia ni kutokana waTanzania tumezoea ukarimu kuwakarimu wageni jambo linalowafanya wafiwa kupewa mzigo wakati wanapitia kipindi kigumu.

Na hapo utakuta mimtu inaenda msibani inarundikana vikundi na kupiga story za siasa au simba na yanga huku wafiwa wakitarajiwa wawe wakarimu kwa kuwahudumia wageni hawa eti wamekuja "kufariji". HII SIO SAWA

Mara nyingine msiba ukiisha kuna vitu viliazimwa kama masufuria, sahani, maturubai, viti, na kutokana na ustaarabu mbovu wa "wageni wafariji" labda vimepotea au vimeharibika mzigo hua unaachwa kwa familia ya wafiwa
Inapendekezwa majirani, ndugu na marafiki kuwapikia chakula wafiwa, kwa sababu huwa wako katika huzuni na shughuli za Mazishi.
Lakini Wafiwa Kuwakusanya watu na kuwapikia chakula msibani kwa ajili ya wageni wengi si jambo jema katika Baadhi jamii walikuwa wakiliona kama sehemu ya maombolezo yasiyopendekezwa.

Ikiwa chakula kimeletwa na majirani au ndugu na watu waliopo msibani wakala bila kufanya tukio maalumu la karamu, hakuna ubaya.
Wafiwa ndio wanaostahili kupewa chakula.
Si lazima familia ya marehemu kuandaa karamu kwa watu wanaokuja msibani.
 
Kama familia haijiwezi iwe wazi kusema hawawezi kuandaa chakula cha watu wote, na wazuie watu kuingia kwenye madeni.
 
Back
Top Bottom