Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,540
- 284,043
Mbagala bila kipunga utazika mwenyewe
watu ni sehemu ya faraja katika msiba. aidha, nijuavyo, kwa jamii ya Afrika hususan Nchini, chakula zaidi ya shibe pia ni njia/platform ya kuwafanya watu kujumuika pamoja, kuzungumza au kushikamana. Achilia chakula, watu pia hujitoa kwa namna kadhaa katika kufanikisha msiba. Hivyo, changamoto ya eneo moja isichukuliwe kama ndio udhaifu wa jambo kwa ujumla wake.salaam,
Huenda wazo lilikua jema watu wanapofika kuwafariji wafiwa pia wale hapo ili kuweka mshikamano.
Lakini utaratibu huu binafsi naona haufai sana maana ni kama umekua mzigo kwa wafiwa hasa misiba ya familia za hali ya chini.
Kuna msiba umetokea hapa mtaani kwetu (Mungu awafariji wafiwa pia amrehemu marehemu) aise wafiwa hapa wanahangaika mara kijana anachimba mashimo ya kuweka mahema mara kapanda pikipiki amefuata kuni akirudi anaingia chumbani kwake analia uchungu wa kufiwa baba mzazh akitoka nje awahudumie wageni jamani daaah.
Nimeshuhudia misiba mingi ya familia za chini wafiwa ni kama huwa wanapata mzigo kwa watu kuja kutoa faraja.
Mara nyingi utaona wanapika chakula kikiiva wao ndio watazunguka kugawa chakula kwa wageni yote hii pia ni kutokana waTanzania tumezoea ukarimu kuwakarimu wageni jambo linalowafanya wafiwa kupewa mzigo wakati wanapitia kipindi kigumu.
Na hapo utakuta mimtu inaenda msibani inarundikana vikundi na kupiga story za siasa au simba na yanga huku wafiwa wakitarajiwa wawe wakarimu kwa kuwahudumia wageni hawa eti wamekuja "kufariji". HII SIO SAWA
Mara nyingine msiba ukiisha kuna vitu viliazimwa kama masufuria, sahani, maturubai, viti, na kutokana na ustaarabu mbovu wa "wageni wafariji" labda vimepotea au vimeharibika mzigo hua unaachwa kwa familia ya wafiwa
Mkuu hii issue kwa ninavyoelewa mboni inafanywa na majira wana-organize wanafanya kila kitu kuanzia kupika na mengineyo sana sana ni kupewa tu ratiba na nini kitafanyika mwanzo mpaka mwisho au hao wao hua hawana ushirikiano na majirani zao wanaowazunguka?Kuna msiba umetokea hapa mtaani kwetu (Mungu awafariji wafiwa pia amrehemu marehemu) aise wafiwa hapa wanahangaika mara kijana anachimba mashimo ya kuweka mahema mara kapanda pikipiki amefuata kuni akirudi anaingia chumbani kwake analia uchungu wa kufiwa baba mzazh akitoka nje awahudumie wageni jamani daaah.
Nijuavyo Mimi wafiwa wana coordinate mazishi nyuma ya pazia lakini kazi zote zinafanywa na wanakijiji.Utaratibu wenu wa ovyo. Misibani wafiwa hawafanyi kazi. Majirani, Marafiki, vikundi mbalimbali, ndio wanafanya. Mfano hapo wewe inabidi uweke simu chini umsaidie mfiwa kuchimba mashimo ya kusimamisha tents.
Msiba ni gharama - Yes. Ila bro. umeongeza kchumvi kidogo e.g. nakunukuu: "......aise wafiwa hapa wanahangaika mara kijana anachimba mashimo ya kuweka mahema mara kapanda pikipiki amefuata kuni akirudi anaingia chumbani kwake analia uchungu wa kufiwa baba mzazh akitoka nje awahudumie wageni jamani daaah....."salaam,
Huenda wazo lilikua jema watu wanapofika kuwafariji wafiwa pia wale hapo ili kuweka mshikamano.
Lakini utaratibu huu binafsi naona haufai sana maana ni kama umekua mzigo kwa wafiwa hasa misiba ya familia za hali ya chini.
Kuna msiba umetokea hapa mtaani kwetu (Mungu awafariji wafiwa pia amrehemu marehemu) aise wafiwa hapa wanahangaika mara kijana anachimba mashimo ya kuweka mahema mara kapanda pikipiki amefuata kuni akirudi anaingia chumbani kwake analia uchungu wa kufiwa baba mzazh akitoka nje awahudumie wageni jamani daaah.
Nimeshuhudia misiba mingi ya familia za chini wafiwa ni kama huwa wanapata mzigo kwa watu kuja kutoa faraja.
Mara nyingi utaona wanapika chakula kikiiva wao ndio watazunguka kugawa chakula kwa wageni yote hii pia ni kutokana waTanzania tumezoea ukarimu kuwakarimu wageni jambo linalowafanya wafiwa kupewa mzigo wakati wanapitia kipindi kigumu.
Na hapo utakuta mimtu inaenda msibani inarundikana vikundi na kupiga story za siasa au simba na yanga huku wafiwa wakitarajiwa wawe wakarimu kwa kuwahudumia wageni hawa eti wamekuja "kufariji". HII SIO SAWA
Mara nyingine msiba ukiisha kuna vitu viliazimwa kama masufuria, sahani, maturubai, viti, na kutokana na ustaarabu mbovu wa "wageni wafariji" labda vimepotea au vimeharibika mzigo hua unaachwa kwa familia ya wafiwa
Uongo unakusaidia nini Sheikh? Sema kama watu wamemsusia labda huwa haendi kwenye msiba ya wengine? Huko hakuna ndugu na jamaa mpaka mwenye msiba achimbe mashimo?salaam,
Huenda wazo lilikua jema watu wanapofika kuwafariji wafiwa pia wale hapo ili kuweka mshikamano.
Lakini utaratibu huu binafsi naona haufai sana maana ni kama umekua mzigo kwa wafiwa hasa misiba ya familia za hali ya chini.
Kuna msiba umetokea hapa mtaani kwetu (Mungu awafariji wafiwa pia amrehemu marehemu) aise wafiwa hapa wanahangaika mara kijana anachimba mashimo ya kuweka mahema mara kapanda pikipiki amefuata kuni akirudi anaingia chumbani kwake analia uchungu wa kufiwa baba mzazh akitoka nje awahudumie wageni jamani daaah.
Nimeshuhudia misiba mingi ya familia za chini wafiwa ni kama huwa wanapata mzigo kwa watu kuja kutoa faraja.
Mara nyingi utaona wanapika chakula kikiiva wao ndio watazunguka kugawa chakula kwa wageni yote hii pia ni kutokana waTanzania tumezoea ukarimu kuwakarimu wageni jambo linalowafanya wafiwa kupewa mzigo wakati wanapitia kipindi kigumu.
Na hapo utakuta mimtu inaenda msibani inarundikana vikundi na kupiga story za siasa au simba na yanga huku wafiwa wakitarajiwa wawe wakarimu kwa kuwahudumia wageni hawa eti wamekuja "kufariji". HII SIO SAWA
Mara nyingine msiba ukiisha kuna vitu viliazimwa kama masufuria, sahani, maturubai, viti, na kutokana na ustaarabu mbovu wa "wageni wafariji" labda vimepotea au vimeharibika mzigo hua unaachwa kwa familia ya wafiwa
Mpaka sasa hivi bado namshangaa huyu mleta mada!Jamii zinatofautiana na watu pia kama huoni haja ya kula ama kunywa msibani usile waache waliopikiwa wale.
Sasa mtoa mada dunia ya leo mfiwa unafànya kazi za kuchimba matent n.k alikuwa hashiriki misiba na wenzie? Huyo kijana ama baba ??
Dunia ya Leo watu wana vikundi kulingana na ukanda hasa wakiwa mikoa hii ambapo sio nyumbani
Hata nyumbani wazee wana vikundi lukuki
Sasa sijajua ninyi ni jamii gani ???
Ety bwashee wageni kutoka Dar es salaam, Arusha, Moshi na Nairobi wapite nyuma ya nyumba ya ng''ombe cc min -me
Atakuwa hawana ushirikiano na watu hizo nyingn ni kujificha tuu kakaaMpaka sasa hivi bado namshangaa huyu mleta mada!
Hata Kiislamu haifai wafiwa kupika na kuandaa chakula bali inataki wapikiwe na wapewe chakula , shida Waislamu wengi hawalijui hili na kupelekea kufanya makosa kutengemeacwafiwa wafanye kazi na wawape chakulaChakula bali wao ndio wanatakiwa wapikiwe na waandaliwesalaam,