Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,335
- 127,002
Ewaaa. Hayo ndio maneno swahiba.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sawa ngoja tuendelee na wajibu wetu
Ewaaa. Hayo ndio maneno swahiba.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sawa ngoja tuendelee na wajibu wetu
ILA kujipitisha lazima ili uonekane..Hahaaa. Hapana aiseee. Nitakufa na langu rohoni na sio kukutolea la moyoni.
Sababu baadae nitakuwa sina cha kujivunia ujue.
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Ewaaa. Hayo ndio maneno swahiba.
Kabisa yaani kujigongesha gongesha ikibidi lazima kuwepo. Hahahaaa.ILA kujipitisha lazima ili uonekane..
Upo vizuri weweKabisa yaani kujigongesha gongesha ikibidi lazima kuwepo. Hahahaaa.
Hahahaa. Duuh.Upo vizuri wewe
Mkuu nenda komoro tu hapo utakutana na hiyo kituKama hutojali nipe mfano ulio hai mkuu ili na mie niungane na wewe katika kuamini unachotaka kuniamisha.
Hapana, nimetoa ushauriKwani nawe unatafuta mume?
Oooooh hahaha mkuu najua hutaki kusikia neno mwanaume kuolewa,Hujaelewa. Hata iweje iwe mwanamke katongoza au katongozwa, katoa mahari au katolewa Bado inabaki kuwa yeye anaolewa na mwanaume anaoa. Hata km mwanaume ataenda kuishi kwa mwanamke Bado yeye anaoa.
Hahahaha utachagua wwAvatar yako tu mi hoi!!!
Kwahiyo nikikuoa utaniita mke au mme?
RuksaNaoa mleta thread nakuoa na wewe
Mkuu mashudu ni chakula cha nguruwe, na nguruwe ni mnyama mtamu kuliko wanyama wteUmeandika mashudu.Toka lini swala alamla simba.fikiria upya.
Utaniita Mme....Hahahaha utachagua ww
Sasa kwann upate mimba?Utaniita Mme....
Afu watu tawaambia Mme wako ana mimba?
Acha zako wewe! Mnyama mtamu kuliko wote ni binadamu, hasa ngozi yake.Mkuu mashudu ni chakula cha nguruwe, na nguruwe ni mnyama mtamu kuliko wanyama wte
Ushawahi kuila?Acha zako wewe! Mnyama mtamu kuliko wote ni binadamu, hasa ngozi yake.
Teh teh teh. Ebanaeeh, siyo mimi tu, hata wewe pia ushawahi kuila.Ushawahi kuila?
Hahahahaha nalikuwa gizani, kumbeee!!Teh teh teh. Ebanaeeh, siyo mimi tu, hata wewe pia ushawahi kuila.
Na utamu wake watu wengine hushindwa kujizuia hisia zao wanapoitafuna, huweza kulia kabisa machozi ya furaha.