No Escape
JF-Expert Member
- Mar 7, 2016
- 6,662
- 7,832
Kwani nawe unatafuta mume?Pasi na shaka nawe uwe bikira ili kuleta usawa
Kwani nawe unatafuta mume?Pasi na shaka nawe uwe bikira ili kuleta usawa
Hujaelewa. Hata iweje iwe mwanamke katongoza au katongozwa, katoa mahari au katolewa Bado inabaki kuwa yeye anaolewa na mwanaume anaoa. Hata km mwanaume ataenda kuishi kwa mwanamke Bado yeye anaoa.Km desturi yetu ya mwanaume kuoa na hamuoi, kwa kisingizio mambo magumu, basi wanawake wana haki ya kufanya hivyo km ana uwezo huo, shida iko wapi?
Mbona nchi zingine wanawake ndio wanaooa, kwann ishindikane kwetu?
Tuendako wanaume mtaolewa tu,
Umeshatafuta maana ya kuoa na kuolewa au ?Na haitakuja kutokea labda kwa kubadili jinsia,
Ila
Mwanaume kuolewa haiondoi uanaume wake kumbuka
Mbaya zaidi jamii ya kitanzania haitambiu koz hiyo si tamaduni ya mtanzania. Labda kwa wahindiNi wazo zuri sana lakini huo ujasiri watautoa wapi sasa
Nadhani Huyu analinganisha na nchi zingine ambapo mwanaume anaolewa na mwanaume mwenzie. That's fine lakini hiyo ni kinyume na nature ya mwanadam na maumbile ya mwenyezi Mungu. So asilete mambo ya wazungu hapa kwetu. Mwanaume anaoa na mwanamke anaolewa. Hata maneno ya Mungu yanasema kuwaambia wanaume "oeni katika wanawake mnaowapenda, wawili watatu au wanne. Na ikiwa hamuwezi kuwafanyia uadilifu basi oeni mmoja".Kama hutojali nipe mfano ulio hai mkuu ili na mie niungane na wewe katika kuamini unachotaka kuniamisha.
Huyo jamaa hapo yani wanakatisha tamaa sana. Uanaume unapotea kwa baadhi ya wanaume. Ni aibu sana.Wanaume kwisha habari yenu, hadi mnataka kuolewa [emoji16][emoji16][emoji16]
Naoa mleta thread nakuoa na weweMwanamke wa kwanza kuoa atakuwa ni Evelyn Salt!
Mleta thread amevaa gauni zuri sana!Naoa mleta thread nakuoa na wewe
Mi najua wahindi, mwanamke ndio anatoa mahariKama hutojali nipe mfano ulio hai mkuu ili na mie niungane na wewe katika kuamini unachotaka kuniamisha.
Nawewe una smile zuri wote ntawaoaMleta thread amevaa gauni zuri sana!
Mwanaume yupi anaetaka kuolewa?Wanaume kwisha habari yenu, hadi mnataka kuolewa [emoji16][emoji16][emoji16]
Unataka kuwa na wake wengi kwani wewe ni mwislamu?[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Nawewe una smile zuri wote ntawaoa
DuAvatar yako tu mi hoi!!!
Kwahiyo nikikuoa utaniita mke au mme?
Lakini kutoa mahari si kuoa. Wengine huoa bila kutoa mahariMi najua wahindi, mwanamke ndio anatoa mahari
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Hamnaga vitu kama hivyo siku zote mwanaume atasimamia kwenye uanaume wake na mwanamke vivyo hivyo.
Hapo watakaokubali kuolewa ni wale wanaopenda kulelewa tu.
Kweli,hii pindua pindua haiwezekani kwenye suala la ndoa.Hamnaga vitu kama hivyo siku zote mwanaume atasimamia kwenye uanaume wake na mwanamke vivyo hivyo.
Hapo watakaokubali kuolewa ni wale wanaopenda kulelewa tu.