madia madia
JF-Expert Member
- Sep 30, 2017
- 717
- 703
Kuoa ama kuolewa IPO kijinsia. Anayeoa ni mwanaume na anayeolewa ni mwanamke. Hata watu wanaosema kuwa wanaoana sio sawa. Kwanini wasiseme kuolewana? Kuoana maana yake ni Huyu anaoa na Huyu anaoa. Ni kwa sababu IPO kijinsia 100%. Samahani ni tusi lakini ni kama mwanaume anavyofanya na mwanamke anavyofanywa. So mwanamke hawezi kumfanya mwanaume labda atumie vifaa na maalum ili kubadilisha maana. So km mwaume anaolewa basi ujue anachukua nafasi ya mwanamke.Tueleweshe kidogo rafiki.