Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,970
- 168,904
Nikija kujitambulisha kwenu ndo mtanijua ni mwislamu au m-budhaUnataka kuwa na wake wengi kwani wewe ni mwislamu?[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Nikija kujitambulisha kwenu ndo mtanijua ni mwislamu au m-budhaUnataka kuwa na wake wengi kwani wewe ni mwislamu?[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Lakini mwisho wa siku si mwanaume ndio anaoa. Au nimekosea?Mi najua wahindi, mwanamke ndio anatoa mahari
Kweli kabisa kufananisha mambo ya nje na kuyaleta huku nadhani ni ukosefu wa fikra hakuna kingine hapo.Nadhani Huyu analinganisha na nchi zingine ambapo mwanaume anaolewa na mwanaume mwenzie. That's fine lakini hiyo ni kinyume na nature ya mwanadam na maumbile ya mwenyezi Mungu. So asilete mambo ya wazungu hapa kwetu. Mwanaume anaoa na mwanamke anaolewa. Hata maneno ya Mungu yanasema kuwaambia wanaume "oeni katika wanawake mnaowapenda, wawili watatu au wanne. Na ikiwa hamuwezi kuwafanyia uadilifu basi oeni mmoja".
Basi mi naona kutolewa mahari ndo kuolewa tayariLakini mwisho wa siku si mwanaume ndio anaoa. Au nimekosea?
Ni kweli ila inabidi wajiongeze maana vijana siku hizi wamekuwa wavivu sana kuoa na ukizingatia siku hizi K zinapatikana kirahisi tofaouti na kipindi cha nyumaMbaya zaidi jamii ya kitanzania haitambiu koz hiyo si tamaduni ya mtanzania. Labda kwa wahindi
Umeonaeee! Hamna kitu kama hicho.Kweli,hii pindua pindua haiwezekani kwenye suala la ndoa.
NooBasi mi naona kutolewa mahari ndo kuolewa tayari
Kwanza siku hizi wadada wanajipeleka kwa wanaume wansishi km Mke na mume bila hata kupeleka mahari. So mahari haimaanishi ndo kuolewa. Mwingine anaweza akatoa mahari na asioe na akaibakisha kwa mwanamkeBasi mi naona kutolewa mahari ndo kuolewa tayari
Hahahaa. Hapana mwaya kwa upande wangu najua mahari na ndoa ni vitu viwili tofauti.Basi mi naona kutolewa mahari ndo kuolewa tayari
Tueleweshe kidogo rafiki.
Sasa ataoaje wakati tayari unakuta mdada kajileta anaishi naye !?ndoa za kimtandaoNi kweli ila inabidi wajiongeze maana vijana siku hizi wamekuwa wavivu sana kuoa na ukizingatia siku hizi K zinapatikana kirahisi tofaouti na kipindi cha nyuma
Cha kujiuliza ni kwamba je, huyo mwanaume akishaolewa atamhudumia mwanamke kama mkewe au mumewe?Umeonaeee! Hamna kitu kama hicho.
Labda hapo itakuwa mwanaume ndio anahudumiwa kila hitaji lake na mwanamke.Cha kujiuliza ni kwamba je, huyo mwanaume akishaolewa atamhudumia mwanamke kama mkewe au mumewe?
[emoji120] [emoji120][emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa ataoaje wakati tayari unakuta mdada kajileta anaishi naye !?ndoa za kimtandao