Si ustaarabu kupiga mswaki nje ya nyumba huku umevaa kibukta kifupi tumbo wazi

Haaa haaaa! Waacheni jamaniii,kuna dada hapa nasubiria aamke na khanga yake aje kusukutua hapa nje
 
Naona weekend ilikuwa imetawaliwa na mada za kupiga miswaki. Mtu wa hivyo ukipit kitaa anataka kukupigisha stori.
 
Mbona kawaida tu huku kwetu mie huwa napiga mswaki nje asubuhi huku nimejifunga taulo kifua wazi na kitambi changu
nakutana na baba mwenye nyumba naye anapiga mswaki amejifunga kitenge cha mkewe kifua wazi na hivi mwembamba vimbavu vinahesabika!
Muda huo akipita mtu hunisalimia kwanza mimi
wewe utakuwa unakaa kati ya maeneo yafuatayo
Kigogo Mburahati
Kiwalani Bomu bomu
Buguruni Kwa Mnyamani
Ukonga Mongo la Ndege
Mbagala Majimatitu
Kimara King'ole
 
Wenyewe huku uswahili tumeshazoea vibarazani chumba kimoja sinki litatoka wapi jamanii
 
Kutoka nje na mwaski unakenua kusugua meno hadharani tu TAYARI NI UJINGA NA UCHAFU.
Wengine unakuta antema makohozi kama emulsion hadi unaweza kuacha kula wiki nzima.
Wtz tujifunze ustaarabu jamani, SI AJABU NDIO MAANA KIPINDUPINDU NA TB HAVIISHI
 
mwili wa mwanaume haujaumbiwa kutamaniwa hata akiwa na boxer acha tupigwe na kaupepo ka asubuhi jamani usiku kucha na blanket hilo joto balaa

wanawake wana utamani : kama wanaume wanavyotamani wanawake
 
Kutoka nje na mwaski unakenua kusugua meno hadharani tu TAYARI NI UJINGA NA UCHAFU.
Wengine unakuta antema makohozi kama emulsion hadi unaweza kuacha kula wiki nzima.
Wtz tujifunze ustaarabu jamani, SI AJABU NDIO MAANA KIPINDUPINDU NA TB HAVIISHI

ahsante
 
Wenyewe huku uswahili tumeshazoea vibarazani chumba kimoja sinki litatoka wapi jamanii

kupigia nje sio ishu ! ishu ni uvaaji na upigaji wa mswaki usiyo wa kawaida utazani unagombana nao ! na mikohoz kibao kho kho kho kho kho , halafu kwa sauti ! na kupenga mikamasi kwa sauti wakati jirani zako wanapata break fast muda huo .
 
kupigia nje sio ishu ! ishu ni uvaaji na upigaji wa mswaki usiyo wa kwaida utazani unagombana nao ! na mikohoz kibao kho kho kho kho kho , halafu kwa sauti ! na kupenga mikamasi kwa sauti wakati jirani zako wanapata brak fast muda huo .
Hatari sana, na viwanja vyetu vya 20x20, majirani wana kazi kubwa.
Mswaki tupigie bafuni jamani sio hadarani mtaani.
 
Sasa hio mivuzi tumboni ashaghafillulah!!!!!
na vile vikaptura vya jezi za mpira jamani natamanigi kulia jinsi nnavyochefukwa
 
tumbo lenyewe gongo miguu nundu nundu tu mtu anatoka na kabukta afu asubuhi ile mikunyenge huwa imesimama simama ebanaee huu sio ustaarabu kabisa.
 
unakuta baba mzima mtumbo mkubwa kauweka nje (tena umejaa manyoya) halafu kavaaa kibukta kivupi kimeshia mapajani : hata watoto tu wakimtazama unaona ni tabia njema ku-expose kitovu na minyoya?

Haahhaah binadamu hana manyoya
 
Mbona kawaida tu huku kwetu mie huwa napiga mswaki nje asubuhi huku nimejifunga taulo kifua wazi na kitambi changu
nakutana na baba mwenye nyumba naye anapiga mswaki amejifunga kitenge cha mkewe kifua wazi na hivi mwembamba vimbavu vinahesabika!
Muda huo akipita mtu hunisalimia kwanza mimi
kodi itapanda muda si mrefu.
 
kuna siku nime jisahau nimeenda nje na bukta na mkwaju wangu uikuwa uesimama kwa mbaili ila sio sana na ulikuwa una onekana ni hatari. thank nili muosha rungu alie niona na kujilengesha mwenye bila kupenda
 
Back
Top Bottom