Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 21,487
- 37,763
Mimi ninunie WAPISHI na wakati jiko wanalopikia nalijua? Acha wajidanganye lakini mtoto anayekuwa na aliyedumaa wanajulikana.Hahahaa...... Hiyo sijaweka mimi bali imethibitishwa na benki ya maendeleo Afrika. Msinune!