Si sawa kusema Kenya inaongoza kwa ukuaji uchumi Afrika Mashariki ukikua kwa 6.3% wakati Tanzania uchumi unakua kwa 7%

Hahaha hapana sijapa sijapanic nilihisi hata wewe hukuelewa ulichokiandika, au ulikosea nikashangaa ikiwa wewe huelewi itakuwaje mnayemshauri.
Kwi.....kwi....kwi....!

Mimi naelewa sana nilichoandika mkuu hata ff amenielewa!
 
Kwanza niwapongeze majirani zetu Kenya kwa sherehe nzuri za Madaraka Day na kwa namna wanavyopambana na ufisadi.

Lakini nimpongeze kipekee Rais Uhuru Kenyata kwa kubadilisha fedha ya Kenya kama njia ya kuwadhibiti mafisadi walioficha fedha majumbani mwao.

Ila sikubaliani na taarifa yao kuwa Kenya inaongoza Afrika mashariki kwa ukuaji wa uchumi ikiwa na ukuajiaji wa 6.3%.
Hii si kweli kwani Tanzania tumewashinda tukiwa na ukuaji wa 7%.

Ni hayo machache
Maendeleo hayana vyama!
Bashite bwana kichwa cha samaki kweli kwa hiyo Tanzlania ina uchumi imara kuliko marekani kwa sababu uchumi unakuwa 2.4% hatushangai karomije zero brain
 
Bashite bwana kichwa cha samaki kweli kwa hiyo Tanzlania ina uchumi imara kuliko marekani kwa sababu uchumi unakuwa 2.4% hatushangai karomije zero brain
Mbwiga hapa hatuzungumzii uimara bali growth rate........au bado umevimbiwa futari?!!
 
Kenya wanakusanya kodi mara mbili na nusu yetu. Wako mbaali sana wale. Nenda supermaket ndio utagundua viwanda vyao ni vingapi. Wakenya sasa wanatuzidi mpaka kukiuza Kiswahili nje ya East Africa Community
Kwanza niwapongeze majirani zetu Kenya kwa sherehe nzuri za Madaraka Day na kwa namna wanavyopambana na ufisadi.

Lakini nimpongeze kipekee Rais Uhuru Kenyata kwa kubadilisha fedha ya Kenya kama njia ya kuwadhibiti mafisadi walioficha fedha majumbani mwao.

Ila sikubaliani na taarifa yao kuwa Kenya inaongoza Afrika mashariki kwa ukuaji wa uchumi ikiwa na ukuajiaji wa 6.3%.
Hii si kweli kwani Tanzania tumewashinda tukiwa na ukuaji wa 7%.

Ni hayo machache
Maendeleo hayana vyama!
 
Data za imf zinaonyesha kuwa tokea awamu ya tano iingie madarakani hawajawahi kugusa uchumi wa ukuaji wa 7% never cha zaidi waliukuta uko 6.9% wao wameuporomosha zaidi, period.
 
Back
Top Bottom