Si sawa kusema Kenya inaongoza kwa ukuaji uchumi Afrika Mashariki ukikua kwa 6.3% wakati Tanzania uchumi unakua kwa 7%

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
51,172
2,000
Kwanza niwapongeze majirani zetu Kenya kwa sherehe nzuri za Madaraka Day na kwa namna wanavyopambana na ufisadi.

Lakini nimpongeze kipekee Rais Uhuru Kenyata kwa kubadilisha fedha ya Kenya kama njia ya kuwadhibiti mafisadi walioficha fedha majumbani mwao.

Ila sikubaliani na taarifa yao kuwa Kenya inaongoza Afrika mashariki kwa ukuaji wa uchumi ikiwa na ukuajiaji wa 6.3%.
Hii si kweli kwani Tanzania tumewashinda tukiwa na ukuaji wa 7%.

Ni hayo machache
Maendeleo hayana vyama!
 
Bams

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
10,307
2,000
Unajua kuwa maelezo yako siyo kweli lakini hata kama ingekuwa ni kweli, unatakiwa kufahamu kuwa mwenye uchumi wa million 200 ukikua kwa 5%, na wewe mwenye uchumi wa milioni 50 ukikua kwa 10%; bado mwenye uchumi mkubwa, atakuwa amekutangulia.

Uchumi wa US ukikua kwa 0.1% bado utakuwa ni ukuaji mkubwa kuliko ukuaji wa 20% wa uchumi wa Tanzania.
 
Tofautisha ubora na ukubwa!
 
FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
71,602
2,000
Kwanza niwapongeze majirani zetu Kenya kwa sherehe nzuri za Madaraka Day na kwa namna wanavyopambana na ufisadi.

Lakini nimpongeze kipekee Rais Uhuru Kenyata kwa kubadilisha fedha ya Kenya kama njia ya kuwadhibiti mafisadi walioficha fedha majumbani mwao.

Ila sikubaliani na taarifa yao kuwa Kenya inaongoza Afrika mashariki kwa ukuaji wa uchumi ikiwa na ukuajiaji wa 6.3%.
Hii si kweli kwani Tanzania tumewashinda tukiwa na ukuaji wa 7%.

Ni hayo machache
Maendeleo hayana vyama!
Ukiona nchi inakuwa kwa haraka sana ki uchumi ujuwe bado haina maendelo, ipo katika kuendelea.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom