.... Baada ya maongezi ya muda mrefu kati ya mtangazaji wa RTD na Mgonjwa ktk kipindi cha wagonjwa mahospitalini. Ndipo mgonjwa akapewa nafasi ya kutuma salamu....
Mgonjwa: Kwanza kabisa natuma salamu kwa marehemu mjomba aliyefariki mwaka jana, namwambia nipo njia moja nakuja huko uniandalie makazi na yale mambo yetu..... sina mengi. napenda kupigiwa wimbo wa KIFO OOH KIFO uliopigwa na BOB MARLEY akiwa na kundi la AKUDO IMPACT. Asante sana ndugu mtangazaji