beibe nasty
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 1,640
- 525
eti mtu katongoza kakataliwa anaanza mpondea rafiki yake coz anahis atampindua sasa nilichomjibu nika mwambia sina mpango na mtajijua wenyew eti kamaind anaanza leta mineno yenye shombo mi nadhan si mzima huyu halafu waajabu.aludhan hapa kitongaaeeh shenz zake