Si lazima mtu afe ndiyo mtaa upewe jina lake

Wimbo

JF-Expert Member
Oct 23, 2012
820
571
Hakuna shaka kwamba Mama Maria Nyerere, atadumu katika historia kama mke wa mwasisi wa Taifa letu. Kama ukili wetu ukiona mafanikio ya mwanamme basi nyuma yake kuna mwanamke mwenye busara.

Tusingoje Maria afe ndo tumpe mtaa.
 
Vilivyopewa jina la mume wake vinatosha.
Apart from being wife of the first president, what else she did? Lets be logical. They got allowance, that enough for them.
 
Tatizo mumuwe hakumshauri vizuri kuhusu Muungano huu wa kihuni.Muungano ambao watanganyika tumefukuzwa ndani ya Nchi yetu(makurunge?)na kutokuruhusiwa kumiliki ardhi Zanzibar.Tumalize kwanza hizi changamoto za Muungano ndiyo tumfikirie
 
Back
Top Bottom